KWA TANZANIA Urais ni MTU ndio maana Rais amepewa Madaraka Makubwa na Ana Kinga ya kutoshtakiwaWana jamvi. Napendekekeza umri wa kugombea urais wa jamh. Tanzania uwe kati ya miaka 25 hadi 70.
Hii ni baada ya kuona kuna vijana wanaweza kuwa marais kwa umri husika maana wazee wanazingua.
Angalia Biden na Putin wanavyotishia uhai wa dunia. Hii ni sababu wao wamekula vyingi hivyo hawana vya kupoteza.
Angalia Mugabe alivyoiharibu nchi.
Lakini pia vijana kama wana haki ya kuchagua vilevile wana haki ya kuchaguliwa.
Hata Nyerere alikuwa wazri mkuu wetu akiwa kijana 39. Lumumba alikuwa rais 32.
Urais ni taasisi siyo mtu. Maamuzi yanakuwa ya kitaasisi.
Mkosi huo tena rais anapaswa aanzie 50 kabisaaaMhubiri 10:16
Ole wako, nchi, akiwa mfalme wako ni kijana,
Ni jambo jema kama kuna mifumo na taasisi imara za kudhibiti taasisi ya URais.Wana jamvi. Napendekekeza umri wa kugombea urais wa jamh. Tanzania uwe kati ya miaka 25 hadi 70.