Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,017
- 5,462
Wana jamvi. Napendekekeza umri wa kugombea urais wa jamh. Tanzania uwe kati ya miaka 25 hadi 70.
Hii ni baada ya kuona kuna vijana wanaweza kuwa marais kwa umri husika maana wazee wanazingua.
Angalia Biden na Putin wanavyotishia uhai wa dunia. Hii ni sababu wao wamekula vyingi hivyo hawana vya kupoteza.
Angalia Mugabe alivyoiharibu nchi.
Lakini pia vijana kama wana haki ya kuchagua vilevile wana haki ya kuchaguliwa.
Hata Nyerere alikuwa wazri mkuu wetu akiwa kijana 39. Lumumba alikuwa rais 32.
Urais ni taasisi siyo mtu. Maamuzi yanakuwa ya kitaasisi.