Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia

Kama ukuwa na Akili ukiwa na miaka 12 hata ufikishe 60 wewe utakuwa mpumbavu tu kama mzee wa msoga na samia bushiri...huo ndiyo ukweli ...mimi nikiwa na miaka 12 tu ilinitosha kutambua kuwa ccm ni πŸ’© na nilitambua kuwa Uislamu ndiyo wenye kuwa najisi waislamu....tofauti na ukristo ambao wao wakristo ndiyo wenye kuunajisi ukristo ..... hivyo
1)UISLAMU NDIYO UNAWANAJISI WAISLAMU
2)WAKRISTO NDIYO WENYE KUUNAJISI UKRISTO.
Hivyo dini zote zimefitinika si UISLAMU si UKRISTO...na ufalme ulio fitinika hauta simama βœ…
 
(not here to debate just leaving this here)

You find a 7year old with behavioural problems, give them time, they're still growing, there is hope.

You find a 17year old with behavioural problems, give them time.

You find a 27year old with behavioural problems, vaa viatu mpe mgongo anza kuondoka. They're very aware of themselves. Whether or not theres hope with them, dont wait be disappointed.

You find a 37year old with behavioural problems, vile viatu ulivyovyaa, vivue vishikilie mkononi ukimbie usiangalie nyuma. Hiyo ni project ya Baba wa mbinguni.


Ukomavu ni pamoja na uwezo sio taarifa tu.

Mtu mwenye miaka 40 mgomvi mgomvi, asiyeweza kuongea na kusikilizana na mwenzake sio kwamba hajui kuwa ugomvi wake una affect mahusiano yake na wanaomzunguka. Infact, you find an honest one atakwambia kabisa mimi discussions siwezi.

Mwenye miaka 50 muongo muongo, asiye muaminifu, asiyejali faida za wengine, mkatili sio kuwa hana taarifa kuwa anaumiza wengine. Infact, sasa ana taarifa za kutosha kuji justify na kuficha tabia zake.

Kama ni muongo sasa ni muongo Pro Max. Kama ni selfish sasa ana sababu nyingi zaidi za kuwa selfish. Hii ni project ya Mungu, The Lord is the Master of such projects.


Binadamu hukomaa kiakili na kihisia by 30 (+- 3). Baada ya hapo anapokea taarifa zaidi tu ili kushindilia kile ambacho kilishakomaa kitambo. Unelss by God’s Grace.

No wonder our Lord Jesus started his ministry at about 30yrs.

No wonder Jewish practices recommend atleast a 30yr old for leading their most sacred holidays. Why? They say "a 30yr old is humble and broken hearted, and can thus sincerely pray from the heart."

Nowonder some studies show the brain reaches its maturation at about 30. What happens to it after cant be termed growth. Maybe slight changes. Otherwise 80yr olds' brains would the most developed. That's not the case.
 
Na wote ukute sio wako
 
25 mpaka 40 ni pagumu zaidi kuliko 50 mpaka 69
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…