Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia

Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia

Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.

Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.

Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .

Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.

We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.

Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
Sio wote maana wahuni na wenyewe wanazeeka...
 
Kwa sasa wanakuwa wazee wa ovyo sana hawana akili wengi wao wapo kama tuvijana upcoming tu.
 
Watu wanakomaa kihisia na kiakili baada ya kupitia kuona na kushuhudia kwa kusikia pasipo na shaka mambo mengi yanayohusu jamii yake na wanaomzunguka,

Hivi vitu vinamjenga . Kwahiyo miaka 30 bado sana, unakuwa hujapevuka na jamii inakuwa haikuamini.

Niamini , mm niko 35+.
Nimeona na Naona vingi. Ila bado najua Mungu akijalia nikifika 50+ ntakuwa nimekomaa zaidi ya hapa.
Mkuu mkuu nimepitia mengi ujue aaaaah
Mkuuu mkuuu usiseme hvo unajua niloyopitia mimi
 
Ndinga gani mkuu usije ukaingia na Vitz, ukategemea mate yanitoke😁😁
Ndinga kali.. YAKUZ now imekua next level..
Mfano leo nimechukua 750k...

Next week the same just imagine it takes how long to create alot of money in one monthly enough to get nice car..

Actually it takes seven up to 3 months to ensure to be top amoung poor in jf to have a car

Nikutafsilie mkuu... Au skia copy alafu kaweke chat gpt
 
Wacha weee na kidhungu juu
 
Kumiliki pesa au kujua code za YAKUZ na YAVUZ sio rahisi lazima ujue.lugha kama hizi

To get money or to knowing code of YAKUZ and YAVUZ is not simple she must know language like that
Congratulations, if your talking the truth 🤭

Nimejaribu usinicheke hiko kizungu
 
Ni kweli mimeona mabraza wengi wakibadili maamuzi yao ya ujanani walivyofika 50, kama ulifanya maaamuzi sahh ya ujanani upande wa mahusiano, afya na uchumi huwa ni wakati mzuri wakula matunda yake. Na Kama ulipwiyanga ujanani basi ni kipindi kizuri cha majuto, omba Mungu akupe nafasi nzuri yakurekebisha vinavyowezekana.
True
Tuliopo ghorofa ya sita tuna coment wap
Hongera ikiwa umefika six floor
Watu wanakomaa kihisia na kiakili baada ya kupitia kuona na kushuhudia kwa kusikia pasipo na shaka mambo mengi yanayohusu jamii yake na wanaomzunguka,

Hivi vitu vinamjenga . Kwahiyo miaka 30 bado sana, unakuwa hujapevuka na jamii inakuwa haikuamini.

Niamini , mm niko 35+.
Nimeona na Naona vingi. Ila bado najua Mungu akijalia nikifika 50+ ntakuwa nimekomaa zaidi ya hapa.
Fact
 
Back
Top Bottom