Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
yeahKwa hiyo sumu ina ulambaji wake ili isilete dhahma.
yeahKwa hiyo sumu ina ulambaji wake ili isilete dhahma.
😳 chaiMkuu mi napita humo..
Angalia leo nimesema YAKUZ mara mia tatu nimepata 750k
Kwa nini ukikomenti unatokea mwandiko mdogo sana?Au unabahilia wino?yeah
Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.
Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.
Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .
Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.
We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.
Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
Akijaribu hilo neno anajitafutia kupata kesi ya uhaini bila gharama kubwa.Tuavoid nini mkuu usiseme beer please!😀
Hatari sana na maana ya bandiko zima itapotea, life started at 40 so tuna angalau 10yrs tunakula sasa bila ushindani kwa utulivu mkubwaAkijaribu hilo neno anajitafutia kupata kesi ya uhaini bila gharama kubwa.
Unaonaje uwe rafiki yangu ili uwe unaniiga mimi tabia maana nahisi nina hizo hekima na busara kwasasa ?Lakini mkuu mimi nataka nikifika 30 tu niwe tayari nishakomaa kihisia na kiakili
Chai mkuu...😳 chai
We jamaa kuna mda ni dactar mzr kabisa.ila.kuna nyuzi flan nimeona una comment za ajabu ajabu...Unaonaje uwe rafiki yangu ili uwe unaniiga mimi tabia maana nahisi nina hizo hekima na busara kwasasa ?
Yameisha mdogo wangu ,usiendeleeWe jamaa kuna mda ni dactar mzr kabisa.ila.kuna nyuzi flan nimeona una comment za ajabu ajabu...
Ushauri wa maana kabisa huu Poor Brain uzingatieUACHE MAMBO YA YAKUZ ukizeeka 😀
Manara, Steve nyerere, kigangwala, 🤣
Wee kwa akili yako unaona naweza acha YAKUZ au YAVUZ....Ushauri wa maana kabisa huu Poor Brain uzingatie
Ila Zailisa ana moyo aisee Manara si anaweza hata kumzaa kama angewahi mamboManara, Steve nyerere, kigangwala, 🤣
Wajinga ndiyo waliwao, kuna watu wanakuamini😁😁Wee kwa akili yako unaona naweza acha YAKUZ au YAVUZ....
Are we seriously mkuu
Niache kitu kinacho niingizia pesa..
Kama leo account imesoma 750k kwa kusema Mama samia YAKUZI mara 300
Unawatukana kina Nomadix ambao wamefanikiwa kuwa wao ni wajingaWajinga ndiyo waliwao, kuna watu wanakuamini😁😁
1999 alikua na miaka 24 zai ndo anazaliwaIla Zailisa ana moyo aisee Manara si anaweza hata kumzaa kama angewahi mambo