Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia

Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia

Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.

Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.

Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .

Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.

We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.

Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
umri wa miaka 40 ni umri wa kufanya maamuzi magumu kwa makini. ni umri wa ama mtu kua tajiri au maskini maisha yake yote yaliyobaki🐒
 
Mkuu wewe ni miongoni mwa watu ambao nafata sana protocol zako na naamini ntakuja kufanikiwa not financially ila kiakili tuu takua sana mkuu..

Ukweli ulichokiongea ni mesoma ila nimekaa na kujiuliza huo umri ni umri ambao ni vema ukawa tayari ushakamilisha kila kitu cha msingi maana baada ya hapo hata energy haiwi tena kama ya ujana

Ila naomba mungu pia katika umri huo niwe nina NYUMBA, GARI NA WATOTO WATATU .....

Lakini kwa upande wa wazazi itajulikana huko huko
Yes Mkuu sometimes maturity is in mind and not age .
 
Nafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.

Also kulingana na takwimu, kwa Tanzania in your 50's unajiandaa kuelekea kwenye kifo, over 70% ya watu wanakufa between the age of 50 na 69.
Kifo hakina mwenyewe and science is absolute .
 
hahhaah wewe ndo hao 50 wa hovyo

ujirekebishe sasa
Khaaa mkuu mi mpaka 40 hapo takua mtu na heshima zangu....
Japo kuna mambo kuacha itakua ngumu mfano kwa sasa nakula mishangazi ila nikifika 40 ta deal na watoto wa mishangazi an vitoto vya 2015
 
Unadhani watu wanaamua kukomaa??....
Kama hukukomazwa udogoni, zamu yako ikifika. Maisha yatakukomaza
Mkuu ujue nini..
Yaani katika watu ambao nafata protocal ni mimi hapa.

Mfano toka nianze kutumia jf yaan huu.ndo kama mwongozo wangu kuazia tabia mpaka kila kitu..

Hv najua mengi na kabla sijafanya hiki ama kile ni lazima nipitie humu kwanza kwa watu kama haya land..

Naweza sema nishaanza kukomaa mkuu
 
Nafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.

Also kulingana na takwimu, kwa Tanzania in your 50's unajiandaa kuelekea kwenye kifo, over 70% ya watu wanakufa between the age of 50 na 69.
Hiyo takwimu ni hatari sana, over 70% ya vifo bongo ni watu aged 50-70?
 
Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.

Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.

Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .

Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.

We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.

Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
40 tu,hiyo hali huwepo
 
Nafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.

Also kulingana na takwimu, kwa Tanzania in your 50's unajiandaa kuelekea kwenye kifo, over 70% ya watu wanakufa between the age of 50 na 69.
Mshangazi dot com

Kuhusu IQ umekataa kabisaaaa...loh
 
Mshangazi dot com

Kuhusu IQ umekataa kabisaaaa...loh
😆 😆 😆 😆
Nimekataa kabisa, tungekuwa na utamaduni wa kusoma na kuongeza maarifa kwenye old age ningekubaliana na hiyo hoja ya IQ.

Ila kama ni mbumbumbu ukiwa kijana, utaendelea kuwa mbumbumbu ukiwa mzee, tunawaona wazee wa hovyo kila siku, mfano mzuri angalia maamuzi na tabia za baadhi yao wakipata fedha za pensheni.
 
Back
Top Bottom