umri wa mtoto kuanza kukaa

umri wa mtoto kuanza kukaa

Mtoto wa kike anawahishwa kukaa kuliko wa kiume.....wakike unaweza kumuanzisha hata akiwa na miezi mitatu taratibu,mpk akifika miezi sita anakuwa ameshakaza ...lkn wa kiume unaanza akiwa na miezi sita kumkalisha.
watoto wenye afya hasa wa kiume wanapenda sana kukaa mapema(hawapendi kubebwa kitoto toto) lakini usiwafuatishe wanavyotaka
 
Miezi 6 hujamkalisha mtoto, tena mtoto wa kike, umemchelewesha sana bibie, usije ukatuharibia mtoto bure, miezi 6 alitakiwa awe ameshakaza kukaa na akifika miezi 9 anaanza kutembea, hebu anza kumkalisha mtoto bana

ram baada ya kupata ushauri toka kwa wadau jana nilianza kumkalisaha na anafurahi sana nikimkalisha nimegundua kumbe nilikua namtesa kumlaza tuu kwenye kijumba chake thanks lol
 
Mtoto wa kike anawahishwa kukaa kuliko wa kiume.....wakike unaweza kumuanzisha hata akiwa na miezi mitatu taratibu,mpk akifika miezi sita anakuwa ameshakaza ...lkn wa kiume unaanza akiwa na miezi sita kumkalisha.
watoto wenye afya hasa wa kiume wanapenda sana kukaa mapema(hawapendi kubebwa kitoto toto) lakini usiwafuatishe wanavyotaka

thanks mtimti be blessed
 
Utasababisha mtoto wetu awe mvivu huyo bibie miezi sita hajakaa chini? Wengine miezi sita wanatambaa au kusimamia vitu. Wa kike ulitakiwa umuanzishe kidogo kidogo miezi 3. Meno wengine hadi miezi 11
 
mzurimie thanks mumy mimi sijamwanzisha bado hebu ngoja niache kyumwonea huruma nimkalishe kuanzia leo asije kua mzembe

uwiiii Mtende miezi sita wanaanza kutambaa hata kwenye kadi la klinic kwenye ile chart wanaonyesha kwa mtoto wa kike miezi mitatu unaanza kumbeba kwa kumkalisha 4 anakaza kabisa wa kwangu meno aliota na miezi mitano.
 
Last edited by a moderator:
Sorry, I meant 6+3=9. The logic is contained in the explanation. Asante kwa kukosoa.

Mwali meno ku determine age ndo naipata leo kwa kweli wa kwangu miezi tisa alikuwa na meno nane
 
Last edited by a moderator:
uwiiii Mtende miezi sita wanaanza kutambaa hata kwenye kadi la klinic kwenye ile chart wanaonyesha kwa mtoto wa kike miezi mitatu unaanza kumbeba kwa kumkalisha 4 anakaza kabisa wa kwangu meno aliota na miezi mitano.

the secretay daah yani mnavyoniambia hivyo mnanipa moto maana since jana nimekua nikimkalisha tuu mpaka anachoka anadondoka mwenyewe ila ntahakikisha namkazania kwa nguvu zote japo nimeanza jana ila hawezi kukaa pekeak mpaka nimshikilie au nimwekee mito ajizuilie nayo
 
Tatizo siku hizi manalea watoto kidigital sana, anyway mkalishe kwenye kochi/sofa muwekee vimto pembeni ukimkazania within 1 to 2 wks ataanza kukaa mwenywe halafu sio akianza kulia tu unamnyanyua, utakesha nae, mwache akae hata akilia sometimes muache tu, kila kizuri kina gharama ati

nimekupata asante saaana be blessed i will do that thanks
 
Back
Top Bottom