Umri wa mtoto kuanza kutembea

kunautofauti wowote wa umri wa kutembea kati ya mtoto wa kiume na wa kike? ni umri gani mtoto akifikisha kabla ya kuanza kutembea hatotembea tena?

Nimewahi kuambiwa na daktari wa watoto kwamba watoto wa kike huwahi zaidi kutembea kuliko wa kiume.

Sasa sina uhakika sana kama kuna sababu za kisayansi nyuma yake au ni anecdotal observation tu.

Lakini Kisura wangu alianza kutembea akiwa na miezi sita tu!
 
kunautofauti wowote wa umri wa kutembea kati ya mtoto wa kiume na wa kike? ni umri gani mtoto akifikisha kabla ya kuanza kutembea hatotembea tena?
Vumilia mkuu, hakikisha anakula, mpime minyoo na umpe dawa ya minyoo, mchanganyie glucose lwenye maji Yale ya kunywa, mchek wingi wa damu kama IPO below 70 hakikisha unaipandisha KWA kumnunulia mboga au ulizia sokon Luna maua flan HV ya kuongeza damu, msagie anywe ...hakikisha unapofanya hayo usimpe maziwa ya chupa KWA ck mbili za doz
 
I can imagine trauma munayopitia kama wazazi.

We acha tu, Mi now nna mtt wa miezi miwili anafika mpk 3 days hapati choo. Basi siko hadhir kwa kweli. Sema napata moyo naambiwa wtt wengi wanakuwa Na Hilo tatizo wakiwa around this age.
 
We acha tu, Mi now nna mtt wa miezi miwili anafika mpk 3 days hapati choo. Basi siko hadhir kwa kweli. Sema napata moyo naambiwa wtt wengi wanakuwa Na Hilo tatizo wakiwa around this age.

pole ndugu yangu
 
Kuna uwezekano pia tabia zenu wewe na mkeo. Kama mkifanya tendo la.ndoa mkalala bila kuoga nalo ni tatizo sugu kwa watu wengi. Au labla umekwisha mpa mimba nyingine mama yake nalo ni tatizo. Vyema awe na kitanda chake la sivyo atakuwa fundi viatu

Hahahahaahaha huu ni uongo mtakatifu...hakuna connection kabisaaaa
 
We acha tu, Mi now nna mtt wa miezi miwili anafika mpk 3 days hapati choo. Basi siko hadhir kwa kweli. Sema napata moyo naambiwa wtt wengi wanakuwa Na Hilo tatizo wakiwa around this age.

Anakula nini? Mtoto wa umri huu inabidi anywe maziwa ya mama tu! Ikishindika.a sana basi maziwa ya formula...isijekuta mshaanza kumpa ugali na Coca-Cola
 
Hongereni jamani kupata watoto na poleni kwa hayo yanayowakuta Mungu afanye wepesi. Mimi na ujauzito miezi 7, naumwa na tumbo chini ya kitovu sana hospital wanasema ni kawaida nimeamua kutulia nyumbani kunywa Panadol tu kutuliza maumivu. nateseka Mimi Mungu nisaidie mja wako.
 
We acha tu, Mi now nna mtt wa miezi miwili anafika mpk 3 days hapati choo. Basi siko hadhir kwa kweli. Sema napata moyo naambiwa wtt wengi wanakuwa Na Hilo tatizo wakiwa around this age.
Kumbe ni stage, toto angu pia alishawahi kua hivo anakaa siku 4 hadi 6 bila kupupu
ila choo kinakua cha kawaida tu, na hiyo hali ikaisha yenyewe
 
Anakula nini? Mtoto wa umri huu inabidi anywe maziwa ya mama tu! Ikishindika.a sana basi maziwa ya formula...isijekuta mshaanza kumpa ugali na Coca-Cola

Ananyonya ziwa nampa Na maziwa ya formula. S26 gold.

Basi tu, kwa Baby huyu ndio nimeona hili tatizo. Wengine haikuwa hivyo.

Ugali Na coca-cola? Lol, ntakuwa Na wazimu nkifanya hivyo.
 
Kumbe ni stage, toto angu pia alishawahi kua hivo anakaa siku 4 hadi 6 bila kupupu
ila choo kinakua cha kawaida tu, na hiyo hali ikaisha yenyewe

Yah, hata wa kwangu akipata pooh inakuwa ya kawaida Na Wala haonekani Kama anaumwa Na tumbo. Ni hivyo anazuia tu for some days.
 
Hebu cheki na hii article:

Kuna uwezekano pia tabia zenu wewe na mkeo. Kama mkifanya tendo la.ndoa mkalala bila kuoga nalo ni tatizo sugu kwa watu wengi. Au labla umekwisha mpa mimba nyingine mama yake nalo ni tatizo. Vyema awe na kitanda chake la sivyo atakuwa fundi viatu

Foolish words in your last sentence shows how foolish you are.
 
mwanangu ana umri waa mwaka na miezi saba, anatembelea gari la mbao, ukimshika vidole anatembea kukufuata lakini bado hawezi kusimama wala kutembea peke yake, kunatatizo, na kama kunatatizo nifanyeje? mwanangu wa kwanza

Nikupe hongera kwa kupata mtoto wa kwanza, lakini niseme pole kwa changamoto hiyo. Ndugu yangu, naomba nikutie moyo kwamba kama anaweza kuendesha gari na kutembea ukimshika vidole, huyo atatembea tu, muda wake bado. Binafsi nina mwanangu ambaye alinipa changamoto kama yako, kusema kweli kichwa kilipata joto, na wife ndo kachanganyikiwa kabisa. Ilinibidi niwaone madaktari kadhaa, na wote walinishauri kwamba nisubirie miezi michache atatembea na walisisitiza kuwa watoto wanatofautiana katika ukuaji. Zaidi sana waliniuliza ameanza kukaa akiwa na miezi mingapi? Nikawaambia miezi 6. Simply, wakaniambia nianzie hapo,,,,,,, katika umri tarajiwa wa mtoto kufikia hatua flani, basi niongeze miezi hiyo aliyo chelewa kuanza kukaa(miezi 3?)

Namshukuru Mungu, mwanangu amekuja tembea akiwa na miaka miwili na miezi 5.
Kwa sasa yuko vizuri kabisa.
 
Inaonekana ulikuwa unambeba sana ila sio tatizo sababu kuna mtoto wa rafiki yangu alitembea akiwa na miaka miwili jaribu kumuacha muda mwingi akiwa anaendesha hilo gari la mbao ukiwa umekaq kwenye kochi jaribu kuwa unamuita akufuate ulipo kwa kutumia hilo kochi atakuwa anapiga hatua pia kama utaweza mnunulie gari la dukani huenda hilo gari la mbao anaogopa kudondoka nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…