majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
- Thread starter
-
- #41
nikupe hongera kwa kupata mtoto wa kwanza, lakini niseme pole kwa changamoto hiyo.
Namshukuru mungu, mwanangu amekuja tembea akiwa na miaka miwili na miezi 5.
Kwa sasa yuko vizuri kabisa.
mbona mtoto wa taifa tiffa hajatembea?Hapana mtoto wa kike anaanza kukaa mapema kuliko mtoto wa kiume,mtoto wa kike ni rahisi kutembea mapema kuliko mtoto wa kiume,mtoto wa kike ni imara zaidi upande wa afya kuliko mtoto wa kiume.Mtoto wa kiume ni dhaifu zaidi kuliko mtoto wa kike.Mtoto wa kiume umri kati ya 0 - 1 year anahitaji uangalizi mkubwa zaidi ukilinganisha na mtoto wa kike.
kumbe ndo maana mtoto wa diamond hajatembeaKuna uwezekano pia tabia zenu wewe na mkeo. Kama mkifanya tendo la.ndoa mkalala bila kuoga nalo ni tatizo sugu kwa watu wengi. Au labla umekwisha mpa mimba nyingine mama yake nalo ni tatizo. Vyema awe na kitanda chake la sivyo atakuwa fundi viatu
Sasa unataka wazazi wenzangu wasiambiwe ukweli? Unakuta mama ananyonyesha ila anawanaume huko nje/au kutwa usiku kusogezana na baba mtoto na akitoka Ku ndi ndi ndi huko anamnyonyesha mtoto hata Ku oga hajaoga, Kulea mimba si kazi-kazi kulea mwana wazazi tuwe makini imani dawa hata kama wataalam watapingana na hilikwamtoro heshimu hisia za watu wengine. Hiyo sentensi yako ya mwisho sio nzuri hata kidogo!!!
Swali lako la kwanza, hamna tofauti yeyote kati ya mtoto wa kike na wa kiume. Kikubwa ni matunzo na lishe bora kwa mtoto.Swali la pili, sijakuelewa
kukaa aliwahi, kutambaa ilikuwa issue, kutembelea vitu ndiyo kaanza sasa. Ana mwaka na miezi saba
pole sanaWe acha tu, Mi now nna mtt wa miezi miwili anafika mpk 3 days hapati choo. Basi siko hadhir kwa kweli. Sema napata moyo naambiwa wtt wengi wanakuwa Na Hilo tatizo wakiwa around this age.
umenifurahisha sanaHa ha ha vitoto vya uswazi vinakuaga na matusi, yani kabla hakajajua kuongea vizuri kanajua kutukana
ameanza kutembea kidogo kidogombona mtoto wa taifa tiffa hajatembea?
baby walker inaharibu watoto miguu atakuwa na tege mpaka utashangaa wacha hyo kitu mkuuNna mtoto wa kiume ana miezi 7 na kaanza kukaa na miezi 4-5.... Nimemnunulia babywalker na kwa sasa anazunguka tu ndani vurugu tu mara huku mara kule .... Kutembea ni malezi tu.... Mnataka kutuletea za kizamani oooh mjamzito haruhusiwi kula mayai ya kuku.... Pyeeeeeee😛
mbona mtoto wa taifa tiffa hajatembea?
Kivp mkuu, tuelimishe.. Maana hata wangu anatumia sana hchobaby walker inaharibu watoto miguu atakuwa na tege mpaka utashangaa wacha hyo kitu mkuu