ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 803
Ok kwa hyo watoto wenye matege chanzo ni baby walker
miguu ya mtoto inakosa balance kwenye hicho kiti inapindaOk
Ok kwa hyo watoto wenye matege chanzo ni baby walker
Napenda kujua sababu inayosababisha hvyo. Mbona wengine wanatumia hawawi hvo
Ok
Ok kwa hyo watoto wenye matege chanzo ni baby walker
Napenda kujua sababu inayosababisha hvyo. Mbona wengine wanatumia hawawi hvo.
Je tukiacha kutumia tutumie nn kama mbadala wa kumfunza mtoto kutembea?
thaks miss natafuta, nimejifunza mnunulie hivi hapa
Ok
Ok kwa hyo watoto wenye matege chanzo ni baby walker
Napenda kujua sababu inayosababisha hvyo. Mbona wengine wanatumia hawawi hvo.
Je tukiacha kutumia tutumie nn kama mbadala wa kumfunza mtoto kutembea?
usjali mkuu nasikia canada zimepigwa marufuku kabisaTha
thaks miss natafuta, nimejifunza
God Bless you
Sasa unakuta mtoto, hajaweza kusimam vizur anapenda kukaa, ndio mana tunatumia hzo za juu unazosema si nzur. hizi za hivi achana nazo tumia jamii hizi
una haraka gani mkuu si atatembea tu jamani mbona huko vijijini watoto wanatembeaSasa unakuta mtoto, hajaweza kusimam vizur anapenda kukaa, ndio mana tunatumia hzo za juu unazosema si nzur.
Ukimpa za kusimama pekeake hataki anashndwa kisha anakaa chini anaacha kuendesha na analichukia gari
una haraka gani mkuu si atatembea tu jamani mbona huko vijijini watoto wanatembea
unajua mifupa ya mtoto ni milaini anakosa balance yaani miguu itapinda vibaya utakuja kuniambia
mcheki mtoto wa mange kimambi simsemi kwa ubaya mwenyewe atakuambia au mtoto yoyote anaezitumia hizo za kukaa
Well understood..una haraka gani mkuu si atatembea tu jamani mbona huko vijijini watoto wanatembea
unajua mifupa ya mtoto ni milaini anakosa balance yaani miguu itapinda vibaya utakuja kuniambia
mcheki mtoto wa mange kimambi simsemi kwa ubaya mwenyewe atakuambia au mtoto yoyote anaezitumia hizo za kukaa
pia kumbuka na kumchanganya na watoto wenzie itamchangamsha na kumpa ariTha
thaks miss natafuta, nimejifunza
God Bless you
Kachelewa kukaza sana..wangu ana mwaka na miez mi3 nanakimbia kabisamwanangu ana umri waa mwaka na miezi saba, anatembelea gari la mbao, ukimshika vidole anatembea kukufuata lakini bado hawezi kusimama wala kutembea peke yake, kunatatizo, na kama kunatatizo nifanyeje? mwanangu wa kwanza
Nenda direct "wamembemenda mtoto"Kuna uwezekano pia tabia zenu wewe na mkeo. Kama mkifanya tendo la.ndoa mkalala bila kuoga nalo ni tatizo sugu kwa watu wengi. Au labla umekwisha mpa mimba nyingine mama yake nalo ni tatizo. Vyema awe na kitanda chake la sivyo atakuwa fundi viatu