Umri wa mtoto kuanza kutembea

Umri wa mtoto kuanza kutembea

Ok
th
th
Ok kwa hyo watoto wenye matege chanzo ni baby walker
Napenda kujua sababu inayosababisha hvyo. Mbona wengine wanatumia hawawi hvo.
Je tukiacha kutumia tutumie nn kama mbadala wa kumfunza mtoto kutembea?
 
Napenda kujua sababu inayosababisha hvyo. Mbona wengine wanatumia hawawi hvo
miguu ya mtoto inakosa balance kwenye hicho kiti inapinda
mimi sijawai kuona mtoto alietumia baby walker bila kupinda miguu sema inakuja kurudi baadae
 
Ok

Ok kwa hyo watoto wenye matege chanzo ni baby walker
Napenda kujua sababu inayosababisha hvyo. Mbona wengine wanatumia hawawi hvo.
Je tukiacha kutumia tutumie nn kama mbadala wa kumfunza mtoto kutembea?
th
th
mnunulie hivi hapa
 
hizi za hivi achana nazo tumia jamii hizi

Sasa unakuta mtoto, hajaweza kusimam vizur anapenda kukaa, ndio mana tunatumia hzo za juu unazosema si nzur.
Ukimpa za kusimama pekeake hataki anashndwa kisha anakaa chini anaacha kuendesha na analichukia gari
 
una haraka gani mkuu si atatembea tu jamani mbona huko vijijini watoto wanatembea
unajua mifupa ya mtoto ni milaini anakosa balance yaani miguu itapinda vibaya utakuja kuniambia
mcheki mtoto wa mange kimambi simsemi kwa ubaya mwenyewe atakuambia au mtoto yoyote anaezitumia hizo za kukaa
 
Well understood..
 
Hii mambo inanikumbusha mtoto wang alichelewa kuongea bas mabibi mashangazi sijui nan kila mmoja alikua anasema lake wengine ooh!! Mpe maji ya nazi bas tafran tupu nikamwambia wife marufuku kufatisha ayo mambo madhari dk kasema yupo sawa bas ataongea kwa uwezo wa mungu kweli mungu kamjaalia kanaongea asiv asa wameanza kusema ooh! Anaongea sana bas nawaangalia to kwaiyo aya mambo hayaitaji haraka kama yupo fresh kiafya bas kwa uwezo wa mungu atatembea to muamin mungu
 
over weight ni tatizo kubwa!...hakikisha mwanao anapata balance diet ikiwemo maji tosha! vyakula vya asili ni muhimu!
 
mwanangu ana umri waa mwaka na miezi saba, anatembelea gari la mbao, ukimshika vidole anatembea kukufuata lakini bado hawezi kusimama wala kutembea peke yake, kunatatizo, na kama kunatatizo nifanyeje? mwanangu wa kwanza
Kachelewa kukaza sana..wangu ana mwaka na miez mi3 nanakimbia kabisa
 
Kuna uwezekano pia tabia zenu wewe na mkeo. Kama mkifanya tendo la.ndoa mkalala bila kuoga nalo ni tatizo sugu kwa watu wengi. Au labla umekwisha mpa mimba nyingine mama yake nalo ni tatizo. Vyema awe na kitanda chake la sivyo atakuwa fundi viatu
Nenda direct "wamembemenda mtoto"
 
Back
Top Bottom