Umri wa mtu hukoma lini?

Umri wa mtu hukoma lini?

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
Hivi umri wa binadamu hukoma lini? Ninaqngalia hapa taarifa ya habari hapa eti tunaazimisha 102 ya mwl. Nyerere, hii ni kweli? Mi nadhani umri unakoma mtu akifariki.
 
IMG-20240410-WA0229.jpg
 
L
Hivi umri wa binadamu hukoma lini? Ninaqngalia hapa taarifa ya habari hapa eti tunaazimisha 102 ya mwl. Nyerere, hii ni kweli? Mi nadhani umri unakoma mtu akifariki.
Labda kule alipo anaishi hajafa ,vifo vya viongozi vina mambo mengi sana!!
 
Kufa
Kufariki

Umri wa MTU anayekufa unakoma

Ila anayefariki haukomi nyerere ,Jesus, Plato, socrate, Aristotle hao ni moja ya watu ambao hawajafa.
 
Kumbukumbu ni muhimu Mwalimu alikuwa Mtu muhimu sio kwetu pekee bali kwa Bara letu la Afrika.
 
Back
Top Bottom