Labda kule alipo anaishi hajafa ,vifo vya viongozi vina mambo mengi sana!!Hivi umri wa binadamu hukoma lini? Ninaqngalia hapa taarifa ya habari hapa eti tunaazimisha 102 ya mwl. Nyerere, hii ni kweli? Mi nadhani umri unakoma mtu akifariki.
Naona umetoka kusambaza cv na kote umeambiwa "sawa tutakupigia"
Ndiyo jibuMi nadhani umri unakoma mtu akifariki.
Kumbukumbu kama angekuwepoSasa hiyo miaka 102 ya Nyerere imefikaje?