bwii JF-Expert Member Joined May 24, 2014 Posts 1,429 Reaction score 2,669 Jul 22, 2016 #1 wanajukwaa kwa wale wa enzi zetu za primary, hivi Musa na Neema na mdogo wao Baraka saivi watakuwa na umri gan??
wanajukwaa kwa wale wa enzi zetu za primary, hivi Musa na Neema na mdogo wao Baraka saivi watakuwa na umri gan??
Midumare Ngatuni Iwato JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 1,653 Reaction score 2,045 Jul 22, 2016 #2 Wewee wale walishakufa wote jamani na wazazi wao brother Musa
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,424 Reaction score 11,320 Jul 22, 2016 #3 Are you sleeping, are you sleeping Brother Musa brother Musa. Morning bells ringing ding dong ding. Kulikuwa na mtiririko mzuri wa vitabu. Wakaingia majambazi wa elimu na kuua uandishi mzuri
Are you sleeping, are you sleeping Brother Musa brother Musa. Morning bells ringing ding dong ding. Kulikuwa na mtiririko mzuri wa vitabu. Wakaingia majambazi wa elimu na kuua uandishi mzuri
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 Jul 22, 2016 #4 Bw. Daudi na Bi. Daudi watakuwa washafariki muda mrefu. Musa na Neema watakuwa tayari wanafamilia zao kubwa tu. Ila Baraka huenda yuko chuo mwaka wa tatu hivi au kashaanza kazi km mwaka mmoja hivi. Cna uhakika sn lakini!
Bw. Daudi na Bi. Daudi watakuwa washafariki muda mrefu. Musa na Neema watakuwa tayari wanafamilia zao kubwa tu. Ila Baraka huenda yuko chuo mwaka wa tatu hivi au kashaanza kazi km mwaka mmoja hivi. Cna uhakika sn lakini!
GOOGLE JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 1,889 Reaction score 1,127 Jul 22, 2016 #5 Nasikia eti Neema ndo waziri wa Elimu kwa sasa huko Tanzania na jina kashabadili.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 Jul 22, 2016 #6 Mr. Sangoyi and his motorcycle
Midumare Ngatuni Iwato JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 1,653 Reaction score 2,045 Jul 22, 2016 #7 Wametuaribia sana elimu yetu iliyokuwa inajenga sana hila ndalichako lete mambo makubwa