Umri wa Musa na Neema

Umri wa Musa na Neema

bwii

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
1,429
Reaction score
2,669
wanajukwaa kwa wale wa enzi zetu za primary, hivi Musa na Neema na mdogo wao Baraka saivi watakuwa na umri gan??
 
Are you sleeping, are you sleeping
Brother Musa brother Musa. Morning bells ringing ding dong ding.


Kulikuwa na mtiririko mzuri wa vitabu. Wakaingia majambazi wa elimu na kuua uandishi mzuri
 
Bw. Daudi na Bi. Daudi watakuwa washafariki muda mrefu. Musa na Neema watakuwa tayari wanafamilia zao kubwa tu. Ila Baraka huenda yuko chuo mwaka wa tatu hivi au kashaanza kazi km mwaka mmoja hivi. Cna uhakika sn lakini!
 
Back
Top Bottom