Umri wa ndoa kwa binti: Shekhe Ponda yupo sahihi ila kwakuwa Tanzania haifuati Sharia za Kiislam, hoja kizungumkuti

Umri wa ndoa kwa binti: Shekhe Ponda yupo sahihi ila kwakuwa Tanzania haifuati Sharia za Kiislam, hoja kizungumkuti

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze.

Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe.

Nchi yetu binti chini ya miaka 18+ atakiwi au harusiwi kuolewa.

Yapi maoni yako?
 
Twende na uhalisia. Zamani mtoto wa miaka saba ndio walikuwa wanatakiwa kuanza darasa la kwanza lakini sasa mtoto wa miaka sita ndio anatakiwa kuanza darasa la kwanxa.

Nilipouliza kwa nini umri umepunguzwa nilijibiwa kuwa kwa sasa kuna mabadiliko makubwa ya kibailojia kwa ukuaji wa mtoto. Mtoto mwenye miaka sita kwa sasa amesha kuwa anajua kila kitu. Kwa hiyo kuna manbadiliko makubwa sana.

Nimeshuhudia mtoto wa darasa la tano akiwa mjamxito nilivyopiga hesabu za miaka nilibaki mdomo wazi tu. Kwa hiyo miaka kumi na nane huyo bint you can imagine huyo bint kwa mabadiliko hayo wanauoyazungumzia na ambayo wanadai wameyafanyia utafiti wa kina huyo bint atakuwa amesha kubuhu haswa.

Kwa nyongeza Uislaam wanasema bint akisha kuwa baleghe na mvulana akiwa baleghe anaruhusiwa kuolewa kama bint au kuoa kama ni mvulana.
 
Back
Top Bottom