Umri wa watu wazima unazidi kuongezeka

Umri wa watu wazima unazidi kuongezeka

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jana nilikutana na mzee wa miaka 92 akiwa mzima bukheri wa afya. Alikuwa ameongozana na binti yake wa miaka 65. Mwanzoni nilifikiri ni mke wake, ni baada ya kusikia maongezi yao mama yule akitamka “baba”. Nilifikiria hivi ni wangapi wa umri huu wana fahari ya kuita neno baba, mama.

Nilipata wasaa wa kuongea nao. Mzee alistaafu enzi za awamu ya pili. Mke wake alifariki miaka 10 uliyopita, walijaliwa kupata watoto watano na wote wako hai.

Mzee akili yake imetulia kabisa na aliweza kuniambia kwa furaha baada ya kustaafu walipata nafasi ya kushiriki mikutano ya Injili sehemu mbali mbali na mke wake. Wamekwenda Kenya, Uganda, Afrika ya Kusini .

Nilivyo mbea nilikuwa mdadisi, mzee alilima mboga zake nyingi mwenyewe lakini uwezo huo sasa umepungua. Anaishi mwenyewe na mtu wa kumsaidia na watoto wanamtembelea kila mara kwani karibia wote wamesha staafu.

Ni baraka kufika 90* ukiwa na nguvu na akili timamu.
 
Huu ndio utafiti[emoji23][emoji23] bila shaka alie andika huu uzi ana 50+
 
life expectancy ya Tz n 55
Jana nilikutana na mzee wa miaka 92 akiwa mzima bukheri wa afya. Alikuwa ameongozana na binti yake wa miaka 65. Mwanzoni nilifikiri ni mke wake, ni baada ya kusikia maongezi yao mama yule akitamka “baba”. Nilifikiria hivi ni wangapi wa umri huu wana fahari ya kuita meno baba, mama.

Nilipata wasaa wa kuongea nao. Mzee alistaafu enzi za awamu ya pili. Mke wake alifariki miaka 20 uliyopita, walijaliwa kupata watoto watano na wote wako hai.

Mzee akili yake imetulia kabisa na aliweza kuniambia kwa furaha baada ya kustaafu walipata nafasi ya kushiriki mikutano ya Injili sehemu mbali mbali na mke wake. Wamekwenda Kenya, Uganda, Afrika ya Kusini .

Nilivyo mbea nilikuwa mdadisi, mzee alilima mboga zake nyingi meenyewe lakini uwezo huo sasa umepungua. Anaishi mwenyewe na mtu wa kumsaidia na watoto wanamtembelea kila mara kwani karibia wote wamesha staafu.

Ni baraka kufika 90* ukiwa na nguvu na akili timamu.
 
Yaani mimi binafsi sitaki kabisa kufikia umri huo --

Madame Jana wakati naangalia ile event ya Yanga iliyokuwa imebatizwa Jina la KUBWA KULIKO nilivutiwa mnoo -na uwezo mkubwa wa kufikiri aliouonyesha Mama /Bibi yetu mke wa hayati Karume ...Aise yule mama anazeeka huku akili yake ikiwa a-ctive mno. ..... nachelea kusema kwamba uwezo wake mkubwa wa kufikiri haujatumiwa vyema ipaswavyo kwaajil ya manufaa ya taifa hili
 
Jana nilikutana na mzee wa miaka 92 akiwa mzima bukheri wa afya. Alikuwa ameongozana na binti yake wa miaka 65. Mwanzoni nilifikiri ni mke wake, ni baada ya kusikia maongezi yao mama yule akitamka “baba”. Nilifikiria hivi ni wangapi wa umri huu wana fahari ya kuita neno baba, mama.

Nilipata wasaa wa kuongea nao. Mzee alistaafu enzi za awamu ya pili. Mke wake alifariki miaka 10 uliyopita, walijaliwa kupata watoto watano na wote wako hai.

Mzee akili yake imetulia kabisa na aliweza kuniambia kwa furaha baada ya kustaafu walipata nafasi ya kushiriki mikutano ya Injili sehemu mbali mbali na mke wake. Wamekwenda Kenya, Uganda, Afrika ya Kusini .

Nilivyo mbea nilikuwa mdadisi, mzee alilima mboga zake nyingi mwenyewe lakini uwezo huo sasa umepungua. Anaishi mwenyewe na mtu wa kumsaidia na watoto wanamtembelea kila mara kwani karibia wote wamesha staafu.

Ni baraka kufika 90* ukiwa na nguvu na akili timamu.
Dah...kumbe ulikuwa wewe binti? [emoji44]Ungeniambia ni wewe ningefurahi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani mimi binafsi sitaki kabisa kufikia umri huo --

Madame Jana wakati naangalia ile event ya Yanga iliyokuwa imebatizwa Jina la KUBWA KULIKO nilivutiwa mnoo -na uwezo mkubwa wa kufikiri aliouonyesha Mama /Bibi yetu mke wa hayati Karume ...Aise yule mama anazeeka huku akili yake ikiwa a-ctive mno. ..... nachelea kusema kwamba uwezo wake mkubwa wa kufikiri haujatumiwa vyema ipaswavyo kwaajil ya manufaa ya taifa hili

Kwanini hutaki kufikia umri huo?
 
Uzee ni nyumba ya maradhi. ... ni umri ambao binaadamu huwa anapitia mateso makubwa sana

Si umeambiwa hapo ana akili zake timamu?na pengine anafanya mambo mengine independently...au unataka ufe na miaka 45?
 
Nadhani lishe bora inachangia pia.
Lishe bora na kupangilia uzee vizuri, kutokana na maelezo yake huyu mzee alistaafu akiwa na nyumba, watoto wote wanajitegemea. Pamoja na pension watoto wakimkatia cha juu na hana stress za kodi.
 
60 inatosha kuishi sana wakati Kuna kifo kinatungoja kwangu haina mantiki. .dunia imejaa kero nyingi sana zinazoumiza -- Kuwa na akili zake timamu sijapinga kuhusu hilo ila ni wazee wachache mno wanaofikiaga katika umri huo halafu wakaweza Ku -maintain Katika hiyo hali. .reference ni waziri mkuu mstaafu Salim mohamed Salim alivyo hivi sasa. ..hata miaka 90 hajafika but umeiona hali yake jinsi ilivyo. ..inatia simanzi

Back
Top Bottom