Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni tatizo la uzi wako ! Hata mimi nilihoji na kuchangia mara nilipoona umri wake. Na uelewa wangu ilikataa hizo number, chukulia SK alishiriki Tamthilia za Kaole kwa miaka 5, kisha Bongo movie miaka 5 (mpaka kupata umaarufu !) utapata miaka 10. Ukitoa miaka 28, utakuta - Kaole kaanza na miaka 18, ambacho si kweli ! Sasa kwanini tushirikishwe kwenye uongo ?!?!!!Inshalah jamani nimekosea kwa hili naomba nikiri kosa,nisamehewe kwa hili,ku-mradhi.
Kama kuna uwezekano mod auundoe uzi huu.
Ni kweli au alitudanganya au tumedanganywa.Naamini kwamba ni kosa kwa mtu kudanganya kuhusu umri wake
mfano ;aliyezaliwa mwaka 1984 Mchanganuo wake uko hivi
1992 alianza darasa la kwanza
1998 alimaliza la saba
1999 akaanza kidato cha kwanza
2002 alimaliza kidato cha nne
2003 akaanza kidato cha tano na
2005 alimaliza kidato cha sita.
TATIZO lipo kwa Marehemu KANUMBA wanasema alizaliwa 1984 baada ya hapo alimaliza elimu ya msingi shinyanga na baadae O-level na Advance Mjini Dsm.JE KWA NINI TUSIPEWE MCHANGANUO HALISI KAMA HUO.Nawakilisha
Sioni tatizo la uzi wako ! Hata mimi nilihoji na kuchangia mara nilipoona umri wake. Na uelewa wangu ilikataa hizo number, chukulia SK alishiriki Tamthilia za Kaole kwa miaka 5, kisha Bongo movie miaka 5 (mpaka kupata umaarufu !) utapata miaka 10. Ukitoa miaka 28, utakuta - Kaole kaanza na miaka 18, ambacho si kweli ! Sasa kwanini tushirikishwe kwenye uongo ?!?!!!
Mheshimiwa nyanya mbichi ebu omba radhi na uombe huu mjadala ufungwe, lete ishu za msingi
Humu JF kuna watu wanaifanya kama tunasimamia mitambo ya Nuclear ! Wakati hii ni social media. Angalia uzi kama una mantiki then jadili, bado sikubaliani na umri wa SK ! Kama vipi comment: Napita wadau!Kaanzishe uzi wako wa hoja za msingi. Wewe Mmary, mleta usi amwombe nani radhi? Marehemu nduguze marehemu au wewe? Stop it please, kama unataka kumsifia nenda kwenye kaburi lake ukamsifie huko. Kama hii kwako si hoja basi potea!
Mkuu Mamndenyi, unadhani kelele za watu zitamzuia marehemu kupumzika?
mwacheni mwenzenu apumzike,
maneno yanakuwa mengi kwa nini.