Umri wangu wa kuoa umefika

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Nina mtoto mmoja, umri wangu 28, naishi Ruvuma wilaya Namtumbo, kazi sina ya uhakika ila nimejipanga kilimo cha mpunga msimu ujao, nafanya kazi ila kipato chake kidogo kwa mwezi(teaching private school yenye idadi ndogo ya wanafunzi)

Natafuta mke aje tushirikiane kimaisha mwenye baadhi ya sifa angalau, awe tayari kuishi kijijini(ikibidi) na kufanya kazi za kijijini(mda wa kilimo),maji ya kunde(mweupe), under 23 age, mtoto asizidi mmoja, asiwe bonge, awe muislam(kama mkristo akubali kubadili dini), mwenye kujua thamani ya ndoa, mvumilifu, awe tayari kuishi kotazi kwa kipind nachofanyia kazi, awe tayari kuswali au atafundishwa, awe na malengo ya maisha na sio wakunichuna.

Contact starlickpremium@gmail.com or PM, nipo siriazi mtaani kwangu sijaona wote wanawachumba kwa umri ninaoutaka, au wapo ila waenda saluni na masharobalo wa mjini hapahapa tu na machuma ulete.

Mungu nisaidie ktk hili!
 
Mkuu jana nliposti ila nlikosea so ilifutwa na aliyefuta kanishitua na kunielekeza nije kuposti sehemu hii ndio maana nmetry na ipo poa, si unajua ugeni wa najukwaa, pili mchana huwa nakuwa bize sana, kutumikia Taifa
 
Majina yalikataa yote baadae ikawa nabahatisha tu kila jina pindi na rigista (user name being used by someone else)
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] tulio na miaka 40 tunapita shaaaa
 
Sasa ticha utachunwa chaki? Dah vitu vingine muwe mnawaza kabla ya kuweka public
 
Mnaushauri wa maana na hii ndio raha ya mitandao watu wanacommet freely
 
Tafuta madrassa ya karibu hapo,mwambie mwalimu wa madrassa akutafute mwanafunzi wake aliyefikisha umri wa kuolewa kisheria za nchi na kidini..uchukue mke kilaini..me mwenzako ndo nilifanya hivyo nikajiopolea cheupe dawa wangu nipo nae paka Leo maisha yanaenda,..asubuhi nimeshamwachia shuka la kimasai mm nipo kwenye mishe mishe..
 
Wanavyo penda kuona magari, subiri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…