Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Nina mtoto mmoja, umri wangu 28, naishi Ruvuma wilaya Namtumbo, kazi sina ya uhakika ila nimejipanga kilimo cha mpunga msimu ujao, nafanya kazi ila kipato chake kidogo kwa mwezi(teaching private school yenye idadi ndogo ya wanafunzi)
Natafuta mke aje tushirikiane kimaisha mwenye baadhi ya sifa angalau, awe tayari kuishi kijijini(ikibidi) na kufanya kazi za kijijini(mda wa kilimo),maji ya kunde(mweupe), under 23 age, mtoto asizidi mmoja, asiwe bonge, awe muislam(kama mkristo akubali kubadili dini), mwenye kujua thamani ya ndoa, mvumilifu, awe tayari kuishi kotazi kwa kipind nachofanyia kazi, awe tayari kuswali au atafundishwa, awe na malengo ya maisha na sio wakunichuna.
Contact starlickpremium@gmail.com or PM, nipo siriazi mtaani kwangu sijaona wote wanawachumba kwa umri ninaoutaka, au wapo ila waenda saluni na masharobalo wa mjini hapahapa tu na machuma ulete.
Mungu nisaidie ktk hili!