Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Supaaaaaaaaaa!
Ni beki wa uhakika hasa.Supaaaaaaaaaa!
Kwanini unasema ni usajili wa kushangazaMabingwa wa hispania Barcelona , wamefanya usajili wa kushangaza wa mchezaji wa Timu ya taifa ya France na club ya Lyon Umtiti .
Taarifa za Goal.com zinadokeza kwamba mchezaji huyo mwenye miaka 22 amesaini mkataba wa miaka mitano kwa ada ya Euro mil. 25.
Mbaguz wa kwanza ni wwMniga hawezi pata nafasi mbele ya wabaguzi wale.
Nadhani kamfahamu kwenye euro!Kwanini unasema ni usajili wa kushangaza
Yah kwakusema ukweli acha niweMbaguz wa kwanza ni ww
Najiuliza kile kilichowaondoa Yaya na Etoo kama kimekwisha .Kwanini unasema ni usajili wa kushangaza
Mimi ni mpenzi sana wa ligi ya ufaransa , uturuki na italia , hizo ndizo ligi ninazoangalia mara kwa mara nikipata upenyo , kwa england naangalia championship tu .Nadhani kamfahamu kwenye euro!
Ni jambo zuri kwake kupata usajili katika hii timu. Ila Waafrika wana bahati mbaya katika maisha yao na hii timu angewauliza watangulizi kama Eto'o na Yaya Toure iliaweze kuishi vizuri na hiyo klabu.Mniga hawezi pata nafasi mbele ya wabaguzi wale.
Yah kwakusema ukweli acha niwe
mkuu Na arex song.Ni jambo zuri kwake kupata usajili katika hii timu. Ila Waafrika wana bahati mbaya katika maisha yao na hii timu angewauliza watangulizi kama Eto'o na Yaya Toure iliaweze kuishi vizuri na hiyo klabu.
Wapi yamepitwa na wakati? Hispania? Muulize danny alves.Wewe haya mambo ya ubaguzi yashapitwa na wakati, au wewe ndiye mbaguzi? Sema tujuwe
Wapi yamepitwa na wakati? Hispania? Muulize danny alves.
muulize Neyma
muulize mchezaji yeyote yule mwenye asiri ya uarabuni.
Hao niliokutajia hapo juu wao wanaamini sio waafrica ila kinachowakuta huko sikupi jibu.