Umtiti atua Barcelona

Umtiti atua Barcelona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mabingwa wa hispania Barcelona , wamefanya usajili wa kushangaza wa mchezaji wa Timu ya taifa ya France na club ya Lyon Umtiti .

Taarifa za Goal.com zinadokeza kwamba mchezaji huyo mwenye miaka 22 amesaini mkataba wa miaka mitano kwa ada ya Euro mil. 25.
 
Kwanini unasema ni usajili wa kushangaza
 
Nadhani kamfahamu kwenye euro!
Mimi ni mpenzi sana wa ligi ya ufaransa , uturuki na italia , hizo ndizo ligi ninazoangalia mara kwa mara nikipata upenyo , kwa england naangalia championship tu .
 
Mniga hawezi pata nafasi mbele ya wabaguzi wale.
Ni jambo zuri kwake kupata usajili katika hii timu. Ila Waafrika wana bahati mbaya katika maisha yao na hii timu angewauliza watangulizi kama Eto'o na Yaya Toure iliaweze kuishi vizuri na hiyo klabu.
 
Hongera Baserona kwa kupata jembe la uhakika soon nitaanza kuishabikia!!!! the big team
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wewe haya mambo ya ubaguzi yashapitwa na wakati, au wewe ndiye mbaguzi? Sema tujuwe
Wapi yamepitwa na wakati? Hispania? Muulize danny alves.
muulize Neyma
muulize mchezaji yeyote yule mwenye asiri ya uarabuni.

Hao niliokutajia hapo juu wao wanaamini sio waafrica ila kinachowakuta huko sikupi jibu.
 
Huyo dani alves na neimar nani kakudanganya ni waafrika?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom