Umtiti atua Barcelona

Huwezi kuwaweka ktk grup la weusi hao, ni tofauti kubwa na sisi! kwanza hao wabrazil ni wabaguzi kwa waafrika na watu wengine. Hapo ni 50/50 wanabagua na wenyewe acha wabaguliwe ngoma droo.
 
Reactions: PNC
Huwezi kuwaweka ktk grup la weusi hao, ni tofauti kubwa na sisi! kwanza hao wabrazil ni wabaguzi kwa waafrika na watu wengine. Hapo ni 50/50 wanabagua na wenyewe acha wabaguliwe ngoma droo.
Unafkir ni kwanini brazil wanabaguana?
unafkil ni kwanini neyma akiwa na mpira huwa anapigiwa kelele za nyani?

unakumbuka dany kesharushiwa ndizi zaid ya mara mbiri?

Kama sio wa africa ni akina nani?

kama inshu ni nywele ushawai kuziona nywere za clich wa man cty?

nywere za didie drogba je?
 
Sasa ndugu yangu drogba na alves wapi na wapi? Ngozi utsijua tu, na Nywele za kutengeneza utazijuwa tu! Huyu ndiye dany alves ni kama akina iniesta,pedro,bosquets.

Angslia nywele hizo sio kama zangu na zakwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zako wewe sio kama zangu

za dany na zangu hazijapishana ki viiile sema ye maisha bora tu.

Mkuu bado haijamuondolea asir yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zako wewe sio kama zangu

za dany na zangu hazijapishana ki viiile sema ye maisha bora tu.

Mkuu bado haijamuondolea asir yake.

😀😀😀
 
Wewe haya mambo ya ubaguzi yashapitwa na wakati, au wewe ndiye mbaguzi? Sema tujuwe
Mkuu labda hufuatilii ubaguzi bado upo, Neymar kabaguliawa mwaka huu huu
Ni ngumu kuisha hvo vitu hasa huko spain
 
Huyo dani alves na neimar nani kakudanganya ni waafrika?

Hapo jamaa anapotezea kwa kula ndizi aliyotupiwa

Baada ya tukio hilo Aguero na mpenziwe wakatwit picha hiyo kupinga Dan Alves kufananishwa na nyani
 
Mkuu labda hufuatilii ubaguzi bado upo, Neymar kabaguliawa mwaka huu huu
Ni ngumu kuisha hvo vitu hasa huko spain

Nafuatilia sana zaidi yako! Wabaguzi wakubwa hao acha na wao wabaguliwe, kwani brazil wamekuwa akina nani bana acha warushiwe hata pempas
 
Wewe kama hujui race piga kimya. Neymar na Alves wanabaguliwa Spain kama kawa. Unadhani kwanini? Wana mseto wa asili ya kiafrika.

Wewe kama ni shabiki wa uigereza ishia huko huko, ya spain hayakuhusu, Au kwa sababu the big clubs in the world imetawala pale ndio ulopoke
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…