makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,620
- 5,260
Kumbe ni wazungu wale?Huyo dani alves na neimar nani kakudanganya ni waafrika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni wazungu wale?Huyo dani alves na neimar nani kakudanganya ni waafrika?
Kumbe ni wazungu wale?
Unafkir ni kwanini brazil wanabaguana?Huwezi kuwaweka ktk grup la weusi hao, ni tofauti kubwa na sisi! kwanza hao wabrazil ni wabaguzi kwa waafrika na watu wengine. Hapo ni 50/50 wanabagua na wenyewe acha wabaguliwe ngoma droo.
Lilian Thuram mbona kacheza palemkuu Na arex song.
Unafkir ni kwanini brazil wanabaguana?
unafkil ni kwanini neyma akiwa na mpira huwa anapigiwa kelele za nyani?
unakumbuka dany kesharushiwa ndizi zaid ya mara mbiri?
Kama sio wa africa ni akina nani?
kama inshu ni nywele ushawai kuziona nywere za clich wa man cty?
nywere za didie drogba je?
Sasa ndugu yangu drogba na alves wapi na wapi? Ngozi utsijua tu, na Nywele za kutengeneza utazijuwa tu! Huyu ndiye dany alves ni kama akina iniesta,pedro,bosquets.
View attachment 365698 View attachment 365699
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zako wewe sio kama zanguAngslia nywele hizo sio kama zangu na zakwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zako wewe sio kama zangu
za dany na zangu hazijapishana ki viiile sema ye maisha bora tu.
Mkuu bado haijamuondolea asir yake.
Mkuu labda hufuatilii ubaguzi bado upo, Neymar kabaguliawa mwaka huu huuWewe haya mambo ya ubaguzi yashapitwa na wakati, au wewe ndiye mbaguzi? Sema tujuwe
DuuuhSasa ndugu yangu drogba na alves wapi na wapi? Ngozi utsijua tu, na Nywele za kutengeneza utazijuwa tu! Huyu ndiye dany alves ni kama akina iniesta,pedro,bosquets.
View attachment 365698 View attachment 365699
Huyo dani alves na neimar nani kakudanganya ni waafrika?
Wewe kama hujui race piga kimya. Neymar na Alves wanabaguliwa Spain kama kawa. Unadhani kwanini? Wana mseto wa asili ya kiafrika.Huyo dani alves na neimar nani kakudanganya ni waafrika?
tunakukaribisha mkuu[emoji4]Hongera Baserona kwa kupata jembe la uhakika soon nitaanza kuishabikia!!!! the big team
Utasikia tu kitu kipo dimbani sio England matetesi kibaoBarcelona ,Madrid,Bayern munich,huwa hawalembi kama timu zenu za England
Mkuu labda hufuatilii ubaguzi bado upo, Neymar kabaguliawa mwaka huu huu
Ni ngumu kuisha hvo vitu hasa huko spain
tunakukaribisha mkuu[emoji4]
Wewe kama hujui race piga kimya. Neymar na Alves wanabaguliwa Spain kama kawa. Unadhani kwanini? Wana mseto wa asili ya kiafrika.