Umuhimu na hasara za kuwa Group 0 negative

Umuhimu na hasara za kuwa Group 0 negative

Sio kweli Mkuu kwamba akishachoma kwa ujauzito mmoja basi hachomi tena kwa mimba zinazofuata.

Baada ya ujauzito wa kwanza anachoma hiyo sindano na kila akipata ujauzito inatakiwa kuchoma hizo sindano kwa huo utaratibu uliousema hapo japo zinakuwaga mbili wakati wa ujauzito na akijifungua hiyo sindano ya kabla ya masaa 72 inakuwa ya tatu.
Hizo sindano mbili za kipindi cha ujauzito zinatakiwa kuchomwa muda gani na muda gani mkuu
 
Upo sahihi mkuu, inaonekana una experience, hapo kwenye ya tatu sijakupata ninavyojua ni sindano mbili tu
 
Hizo sindano mbili za kipindi cha ujauzito zinatakiwa kuchomwa muda gani na muda gani mkuu
Mkuu mi Dr aliniandikia nikachoma wiki ya 27 na ilipofika ya 32 nilichoma tena.
 
Zinaitwa rhesus factor, ni protein ya kurithi inayoweza kuwepo kwenye red blood cell. Mtu akiwa na hiyo protein ndio huitwa rhesus positive na ambaye anakua hana hiyo protein huitwa rhesus negative.
asante mkuu, sasa mwenye hiyo protein na ambaye hana utofauti wao ni upi katika maisha
 
asante mkuu, sasa mwenye hiyo protein na ambaye hana utofauti wao ni upi katika maisha
Rhesus factor haina effect kwenye maisha ya kawaida ya kiafya, utafauti unakuja tu ikawa mama mwenye Rh- atazaa na baba mwenye Rh+ hasa kwa ujauzito wa pili, japo kwa sasa kuna dawa za kuzuia shida isitokee.
 
Mkuu mi Dr aliniandikia nikachoma wiki ya 27 na ilipofika ya 32 nilichoma tena.
Daah hapo kwenye mahesabu ya wiki ndio umenichanganya kidogo, ukiweka katika miezi inakuwa mwezi wa ngapi na mwezi wa ngapi exactly maana kwenye ujauzito sijawahi kuelewa namna wanavyohesabu wiki, samahani lakini
 
Kwa mwanaume hasara ni kwenye kupokea damu inabidi atafutwe O negative mwenzio ila kwa mwanamke kwenye ujauzito kama amekutana na positive kuanzia mimba ya pili ndio mapicha picha yanaanza
Mkuu mke wangu ni O negative mimi ni A+ kwa sasa ana mimba ya miezi 5 ni mimba ya kwanza hadi sasa bado hajapata changamoto yoyote. Je vipi anaweza kujifungua salama hii mimba..
 
Back
Top Bottom