Umuhimu ni kitambulisho cha uraia na siyo laini za simu

Umuhimu ni kitambulisho cha uraia na siyo laini za simu

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
887
Reaction score
664
Mh. Rais wetu John Pombe Magufuli, nijuavyo Mimi kama nitakosea unisamehe bure, tatizo tulilonalo la usajiri line za simu si muhimu sana kama kulinda usalama wa vitambulisho vyetu, kauli za zima moto za Waziri wa Mambo ya ndani zina athari.

Wapo wengi hasa maeneo ya Magharibi wengine wapo hired kwenye mashamba ya Tumbaku Katavi na Tabora Uhamiaji hawana muda wa kutosha kuhakiki, kwa uharaka uliopo hata watendaji wanakimbizana kuwagongea mihuri watu bila kujiridhisha Uraia wao.

Tunakimbizana na line baadae itatupa gharama ya kuhakiki kwa vitambulisho vyenyewe kisa kusajiri simu.

KIPI CHA MUHIMU LINE AU KITAMBUKISHO CHA URAIA.
 
Back
Top Bottom