Umuhimu wa affidavit

cacashian01

Member
Joined
Mar 3, 2016
Posts
76
Reaction score
62
Habarini za jioni
Naomba kuuliza kama mtu umenunua nyumba na mkataba wa mauziano ukapotea na waliouziana mmoja amefariki. Je aliye baki(muuzaji)anaweza akaandika affidavit kuthibitisha kuwa aliwauzia walengwa na ikakubalika kama ushahidi?

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi sijakuelewa. Andika vizuri ujibiwe.
 
Ndio inawezekana kwa kuwa affidavity ni kiapo na kipo kisheria isipokuwa tu atakapo apa ajitahidi kikasajiliwe wizara ya ardhi kule kitakuwa na nguvu kubwa kikisajiliwa na msajiri wa nyaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…