Umuhimu wa binadamu kujipenda

Umuhimu wa binadamu kujipenda

Umesahau kuhusu usafi kwenye ule mfereji wa mbolea

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Hii thread inawahusu hadi wa mikoani??
Hii ya watu wa DAR tu...wa mikoani subirini italetwa yenu inayoendana na mazingira yenu mfano jinsi ya kujiswafi kwenye mazingira ya vumbi kama kasulu na kibondo....[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Sisi wa mikoan mtuache kwanza na babycare maana hayo mengne hayatuhusu
 
Kwa uchafu, nafikiri mademu wa kibongo wanaongoza. Utakuta mtu kavaa nywele za makafara au za marehemu anakaa nazo miezi na miezi, wengi wana kucha za paka, wakienda kujichamba wanashindwa kujichamba vizuri, hata kufua chupi zao tu wanashindwa kutokana na kuwa na kucha ndefu. Wengi kwa sasa wanashindwa hata kunyoa mavuzi kisa eti wanataka kuwa natural, yaani mtu unafuga mavuzi sawa na msitu, unataka kuchoma mkaa? Mademu wa kibongo mnakera na kutuboa jamani.
 
Hii ya watu wa DAR tu...wa mikoani subirini italetwa yenu inayoendana na mazingira yenu mfano jinsi ya kujiswafi kwenye mazingira ya vumbi kama kasulu na kibondo....[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Dah kwahiyo umeamua kutoa hukumu kabisa? Acha hizo mkuu
 
Kabisa mkuu
True story nilimuacha manzi bcoz saloon once aweek some times once in 14 days sio kosa langu nilimuomba anyoe nitampenda zaidi but she didnt beleave it nilishindwa tu her hair was my problem especialy we take a shower nywele zake hazigusi maji na akitoka saloon anazilinda kashinda mzazi na mwanae to me it was a huge problem
 
Back
Top Bottom