Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

Hommie,naona sasa umeelewa...nenda zako kwa amani, usitende dhambi tena:A S 103:

darling, wala babu asikupe presha tushamzoea huyu, akipewa lifti anataka apige na honi....dawa yake......kutompa lifti kabisa LOL
Sasa hommie kule Taifa umenipiga bao, na huku JF-MMU branch nako hunionei huruma? LOL
 
darling, wala babu asikupe presha tushamzoea huyu, akipewa lifti anataka apige na honi....dawa yake......kutompa lifti kabisa LOL

Darling with you around... hata nimuone Simba mnyama sitishiki...
 
nimenza kula hizi lishe hivi matunda niyategemee baada ya siku ngapi, vile? au miaka mingapi vile?
 
nimenza kula hizi lishe hivi matunda niyategemee baada ya siku ngapi, vile? au miaka mingapi vile?

Itabidi u monitor afya Ruta... hizi rich food makes you want to eat more..
hivyo nivizuri saana maybe thrice a week.. na matunda ni kila siku muhimu..
 
Sasa hommie kule Taifa umenipiga bao, na huku JF-MMU branch nako hunionei huruma? LOL

huruma za ivohommie inahitajika uende ustawi wa jamii....mwone naibu waziri wa afya kwa Mwongozo

una bahati leo umeshea recipe yangu na sweetie wangu AshaDii, hii sema ni kwa vile tuna undugu wa damu, unaoishia sebuleni (manake hukawii kudai kama ni ndugu basi tushee...forget that hommie...habari yako bana)
 
Mimi niko pale pale, NI VILE TU UMESEMA WEWE NI HOUSE WIFE.. Ningetangaza NIA.
 
Itabidi u monitor afya Ruta... hizi rich food makes you want to eat more..
hivyo nivizuri saana maybe thrice a week.. na matunda ni kila siku muhimu..

Love,naona Ruta angependa kupata matokeo ya hizi lishe, labda ungempa pia recipe ya supu ya pweza kidogo...
 
My Darling.... so proud of you... chukua glass hii ya maji unywe dear... na huyo babu naona tu anakujaribu tu... asikuumize ushindwe kazi eeeh??
 
Haya maneno, akiyasoma Ashadii nadhani atakuelewa vizuri sana....... Thanks hommie....kizuri kula na nduguyo bana!
 
Love,naona Ruta angependa kupata matokeo ya hizi lishe, labda ungempa pia recipe ya supu ya pweza kidogo...

Sweetie hizo ni swagger tu za Ruta... huko nyuma nimegusia soup ya samaki, kwa heshima yako ngoja nimkumbushe hata kwa pm...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…