Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

ha ha ha... pole nimekuudhi kwa kumbu kumbu zangu... Hua nakumbuka bana...Hio hapo juu, hizo sifa i am guaranteeing kua ni Physical for they are the best!utaifa una uhusiano kwani? Utaifa una maana kubwa saana katika kum define mtu in all ways possible...Unapotaka mwanamke with guaranteed confidence, exposure, intelligence,kujitambua, independent, or emotions un attached... then this you will get with high probability from a Kenyan lady than a Tanzanian....Unapotaka mwanamke with guaranteed unyenyekevu, minimum intelligence,lack of complete kujitambua, dependent, emotions attached... then this youwill get with high probabilty from a Tanzanian lady than a Kenyan....Why?? Culture... manifested with traditions, education, customs and the like...
Your last two paragraphs, said it all. Nimepata nafasi ya ku date msichana mkenya na mtanzania, ni kweli, the attributes you have given.
 
Wali wa nazi na maharage na mchicha ni noma

Napenda saaana hicho chakula... na kimekaa kinyumbani nyumbani... yaani kifamily...
Kwa wale wanopenda Cabbage na maharage ukipika maharage mabichi, ukate
hio cabbage ndogo ndogo saaana upike kwa kuchanganya ukapika kwa kukaangiza
(unatanguliza kitunguu maji, kiive, then garlic and nyanya - epusha hoho but can
do with carrots..) alafu uchanganye na maharage tayari yamechemshwa na cabbage
ilokaangwa tayari kwa mafuta pembeni.... ni nzuri saaana... afta a few minits unatia
nazi.. hupendi nazi weka binzari ile ya unga...
 
Your last two paragraphs, said it all. Nimepata nafasi ya ku date msichana mkenya na mtanzania, ni kweli, the attributes you have given.

Well and good, please do tell me yupi you prefer and why??
 
Napenda saaana hicho chakula... na kimekaa kinyumbani nyumbani... yaani kifamily...
Kwa wale wanopenda Cabbage na maharage ukipika maharage mabichi, ukate
hio cabbage ndogo ndogo saaana upike kwa kuchanganya ukapika kwa kukaangiza
(unatanguliza kitunguu maji, kiive, then garlic and nyanya - epusha hoho but can
do with carrots..) alafu uchanganye na maharage tayari yamechemshwa na cabbage
ilokaangwa tayari kwa mafuta pembeni.... ni nzuri saaana... afta a few minits unatia
nazi.. hupendi nazi weka binzari ile ya unga...
Hayo mapishi wanawake wa kikenya wanayajua? Manake nilikuwa nalishwa sukuma wiki kutwa mara 3 kama dozi ya malaria
 
wifi mtarajiwa, i thought nyanya kwenye maharage zinasababisha kiungulia ( too much acid kutoka kwenye maganda ya maharage ukiongezea na ya nyanya?). sijajaribu ya cabbage mixing, ila kuna siku m'dada by accident alichanganya cabbage na chinese cabbage, i was amazed na kugundua mlo mpya!
Napenda saaana hicho chakula... na kimekaa kinyumbani nyumbani... yaani kifamily...
Kwa wale wanopenda Cabbage na maharage ukipika maharage mabichi, ukate
hio cabbage ndogo ndogo saaana upike kwa kuchanganya ukapika kwa kukaangiza
(unatanguliza kitunguu maji, kiive, then garlic and nyanya - epusha hoho but can
do with carrots..) alafu uchanganye na maharage tayari yamechemshwa na cabbage
ilokaangwa tayari kwa mafuta pembeni.... ni nzuri saaana... afta a few minits unatia
nazi.. hupendi nazi weka binzari ile ya unga...
 
wifi mtarajiwa, i thought nyanya kwenye maharage zinasababisha kiungulia ( too much acid kutoka kwenye maganda ya maharage ukiongezea na ya nyanya?). sijajaribu ya cabbage mixing, ila kuna siku m'dada by accident alichanganya cabbage na chinese cabbage by accident, i was amazed na kugundua mlo mpya!

Wifi nyanya ni tatizo pale unapoweka nyiingi saana... for instance kama
ni mboga ya mchana na usiku for lets say six people... nyanya mbili
and not more than hizo ni ok... na garlic ukiweka nyiiingi (kuepusha harufu
kali ya garlic unakaanga na kitunguu maji...) husaidia kupunguza the amount
of acid... ila sasa maharage yenyewe peke yake ukiweka nyanya alafu mkala
na the next day... probability ya kilungulia ni kubwa...
 
well,huwa sipendi nyanya nyingi kwenye chakula anyways. na mie kwangu maharage (kunde ama choroko) ni daily ritual,bila one of those siwezi kufurahia chakula except ndizi na pilau,lol
kuna chakula cha kwetu kinaitwa ''mhawe'', unakijua? inakuwa mahindi yaliyokobolewa unachanganya na nyama ama mtindi (huweki mboga za majani), its superb!
not sure kama uliongelea biriani manake ndo ugonjwa wangu. niambie unaikorofoa vipi?

Na kusema kweli Wifi nyanya ni moja ya viungu vya kuepuka kwa sie watu wazima...
maana whether you like or not, ukiweka nyanya katika mboga hufanya chakula
kiwe rich (coz lazima mafuta, yataongezeka na viungo vingiene) thus kuongeza weight
usipo zingatia zaidi... sasa kwa sisi mabonge tena uendekeze hilo.. hubby anaweza kukukimbia...lol
Alafu amini usiamini... biriani sio mpenzi kabisa and sometimes don't understand the fuse...

Hicho chakula umetaja wifi to be itabidi unipikie... maana ni new Vocabulary kwangu.. Dah!
 
hahaha, walau nimepata na mie pa kujidai,lol! u wont regret! manake ndo pilau ya kwetu ( mchele anasa!!). tunaweka hadi viungo vya pilau na nazi kama unatumia nyama. kama ni mtindi inakuwa plain tu (nzuri kwa wasiotumia chumvi)

Wifi toa basi maelekezo yanayooeleweka nijaribu... mana mpaka
nije kwako hadi hamu ita explode...lol.. kweli kakangu kapata!!
 
ha ha ha mjukuu mwenza... see umeruka post.. hope umeridhika lakini i had the final say?? lol

Sijaruka, ila kama kweli babu alitoa baraka...he shud be here to confirm.
Usijekuta unajiozesha mwenyewe na sisi hatujaonja mahari!!!
 
Hayo mapishi wanawake wa kikenya wanayajua? Manake nilikuwa nalishwa sukuma wiki kutwa mara 3 kama dozi ya malaria

Sherrif, sijui hawa watu wana nini na Sukuma kwa kweli...huwezi pika kitu bila sukuma..lol!
Kusema ukweli, Wakenya hawayajui mapishi, wao ni mchemsho na mchanganyo maalum...labda wale wa mwambao-Mombasa!!
 
Sista wakati nasoma huu uzi nimewaza mambo mengi sana,niliusoma jana nikafikiria ni nini hasa nizungumze lakini nikashindwa kufikia uamuzi,ila leo wacha niwaambie kuwa,aina ya maisha tunayoishi ndo muamuzi wa afya zetu na ubora wa miili yetu na ndio muamuzi wa urefu wa maisha haya(vyakula ndo msingi)
 
Sijaruka, ila kama kweli babu alitoa baraka...he shud be here to confirm.
Usijekuta unajiozesha mwenyewe na sisi hatujaonja mahari!!![/QUOTE]

ha ha ha.... ha ha ha... ha ha ha.... lolest.... Dah!

Mentor ndio maana nakwambia he is not in his right mind!!
Ngoja leo aje labda atatumia mwenyewe ID yake... hata mahari
wametoa.. kweli siku hio yeye hakuwepo (wakati uko Chuo)
but ililetwa... alafu humuamini shemejio?? vipi kakaa kitapele?? lol
 
Sista wakati nasoma huu uzi nimewaza mambo mengi sana,niliusoma jana nikafikiria ni nini hasa nizungumze lakini nikashindwa kufikia uamuzi,ila leo wacha niwaambie kuwa,aina ya maisha tunayoishi ndo muamuzi wa afya zetu na ubora wa miili yetu na ndio muamuzi wa urefu wa maisha haya(vyakula ndo msingi)

Brother Eiyer... umenifurahisha dear... kikubwa umeeongeza knowledge
na ushauri ulotoa ni mzuri na unafaa... Asante...

haya basi asubihi hii nimeandaa Chai ya rangi yenye pili pili manga, iriki, karafuu, abdalasin...
na sukari of coz... tamu saana, vitafunwa nimeshindwa kupika kazi nyingi ila
nimeona ni nunue mkate nitengeneze sandwich na sausage au mayai pembeni...
 
Back
Top Bottom