Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

Yaani hapo Asha D it's like you've been reading my mind. It seems unajua sana kumwangalia na kumtunza mumeo hadi afeel very special. Ningekuwa na mwanamke mwenye kuzingatia hayo yote uliyasema sasa kwa nini nihangaike?
 
hahahahaaaa wembamba wa reli, mie napenda sana mabiriani, marosti na mavitu kama hayo
kwa kweli inabidi kupunguza hii, nikila sanasana labda mchemsho hivi.....kuna mchemsho mmoja hivi
ngoja nikwambie ujaribu...chukua kuku wa kienyeji,pilipili mtama zilizosagwa, pilipili mbuzi kama nne na unazikata, hivi kama wala
pilipili ikiwa kuku mmoja vitunguu kama saba hivi unakata makubwamakubwa nandimu za kutosha
ngogwe na vibamia kama kimoja au viwili, vikichemka ukaona kuku kaanza kuiva kiasi, weka viazi mviringo
na hoho kama nne,carrot kama tatu pia na hivi vinachemkaaaaaaaa ukiona vimeiva unasonga kiasi kama ugali hv chumvi usisahau
linatokea bonge la chakula aisee jaribu na hii kisha nipe feedback

Gaga mate yanitoka... ila hio pili pili mbuzi nne??
mimi napenda pili pili kwa mbali,
nitaweza kula kweli??
 
Yaani hapo Asha D it's like you've been reading my mind. It seems unajua sana kumwangalia na kumtunza mumeo hadi afeel very special. Ningekuwa na mwanamke mwenye kuzingatia hayo yote uliyasema sasa kwa nini nihangaike?

Sherrif mambo yako bana...lol... wewe si unapenda Wakenya.. oooops (kumbe alikushinda...lol)
 
Gaga mate yanitoka... ila hio pili pili mbuzi nne??
mimi napenda pili pili kwa mbali,
nitaweza kula kweli??
Na mtama ati,punguza kutokana na wewe mwenyewe
ila raha ya hiki chakula sharti nachozi yatoke
 
hizo pili pili nne dear sio tu machozi... hapo na kamasi...

Haya nipe na recipe ya kitafunwa kimoja wapo, nami nitakupa hio ya pan cake...
 
bagia, unachanganya ule unga wake na maji unakatia vitunguu vidogovidogo, then unaweka amila kwa kulingana na kipimo cha mchanganyo wako, usisahau pilipili mtama na chumvi kidogo hapo umemaliza, unasubiria kama nusu saa au lisaa then unaanza kukaanga, hii nakumbuka sana shule ya msingi
 
Yes hio rahisi na inakumbusha mbali... Kuna hiii ya Pan cake...

Unachukua sukari ya 6/8 table spoons unaweka chombo cha kukandia
then unachukua one table spoon ya baking powder, half tea spoon ya yeast,
unachanganya vizuri, then unatia magarine (blue band nzuri coz in chumvi dizain)
unachanganaya saana then unagongea eggs (bora ya kienyeji..),
unachanganya saana, then unatia unga kama robo kilo unatumia mwiko
kusonga kama ugali... mpaka ishikane, unatia maziwa kidogo kurainisha
hatimae mpaka ishikane vizuri then una switch kwenye maji lukewarm
mpaka itapokua na uzito wa unaokua kama chapati za maji... hizi hua laini
na hazikifu mdomoni...
 
duuuuu hii jumamosi tajaribu aisee, umenitia udenda, ngoja nikalale kwa kweli
nimechoka sana, usiku mwema
 
ujaribu dear... mimi mwenyewe hoi... nalala pia...
 
Nimeipenda hii article! Asha D wewe ni kiboko. Kwa yote hayo ulioyasema mmmmhhnnnn....kila mdada angemwangalia mwenza wake kusingekuwa na talaka..after all it feels so speacial to eat and enjoy the food that has been cooked by my woman (akiwa anajua kupika). Wengine twapikiwa lakini mapishi ya kulipualipua, you know what I mean!!
 
Sherrif THANK YOU, Na zawadi yako kwa thread imeeleza dhahiri Thus
I appreciate Mkuu, saaana. Naamini kila dada anaweza kikubwa kuelekezana
na kukumbushana (ingawa nimetoa Disclaimer...)

Pamoja Saaana.
 
Pheeew! Nlikuwa nasubiri ulale ila nami nimiliki jukwaa. LOL Mwanamke unaongea sijapata kuona. Ngoja nikadokoe kile ulichofunika kwa kawa. Hivi ulimwandalia nani vile?

ha ha ha... babu once you return i will answer....lol
 
Khee! Usingizi gani huo, dakika tano ushaamka? Au ndo kuvimbiwa na mapochopocho. Manake kwa siku moja tu umetupikia watu saba......... na kupika si shurti kuonja au?

Haya mambo haya babu ndio maana wanasema usifanye kkwa kuiga
waweza kufa....lol... bahati mbaya tu leo kazi zimenibana sitakuepo
mpaka baadae saana, yaani hapa ingekua kubanana...lol
 
Back
Top Bottom