Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

Babu...shikamoo! Bibi hajambo..
Hiviiii...atiii...abuuu...bibi yuko huku!??
 
Haya mambo haya babu ndio maana wanasema usifanye kkwa kuiga
waweza kufa....lol... bahati mbaya tu leo kazi zimenibana sitakuepo
mpaka baadae saana, yaani hapa ingekua kubanana...lol
Ukiondoka tu, nami naazisha sredi langu......... nikutonye taito yake?

Babu...shikamoo! Bibi hajambo..
Hiviiii...atiii...abuuu...bibi yuko huku!??
Matahaba kijana....... Bibi hajambo. Ukweli ni kuwa bibi akiingia huku, mimi ntalazimika kutoka. Naipenda ndoa yangu..... LOLEST
 
Yes hio rahisi na inakumbusha mbali... Kuna hiii ya Pan cake...

Unachukua sukari ya 6/8 table spoons unaweka chombo cha kukandia
then unachukua one table spoon ya baking powder, half tea spoon ya yeast,
unachanganya vizuri, then unatia magarine (blue band nzuri coz in chumvi dizain)
unachanganaya saana then unagongea eggs (bora ya kienyeji..),
unachanganya saana, then unatia unga kama robo kilo unatumia mwiko
kusonga kama ugali... mpaka ishikane, unatia maziwa kidogo kurainisha
hatimae mpaka ishikane vizuri then una switch kwenye maji lukewarm
mpaka itapokua na uzito wa unaokua kama chapati za maji... hizi hua laini
na hazikifu mdomoni...

lol...unanitamanisha kweli Asha na huo msosi mwenzangu,
tatizo unakuta haya maandalizi na mapishi anakufanyia house girl,
mother house kajikalisha tu pembeni, au yupo busy na majukumu mengine.......lol.....
 
ha ha ha... Bacha huwezi mlaumu... mambo mengi... alafu house gals wengi
hawajui kupika let alone bakings.... ndio maana nikatoa ushauri huu...

  • Na kwa wale ambao ni busy wifes in the sense kua kazi yake haimpi kabisa nafasi ya kupika… kila unapopata msaidizi walau msimamie mpaka ajue… na hata akijua ni vizuri once a week hasa kama Sunday unaandaa chakula mwenyewe kwa mkono wako from breakfast ya ukweli (walau hapa epuka vitafunwa vya kununua unashtulia kidogo vitu kama maandazi/chapatti/kalmati/ sambusa and the like..); Lunch ya uhakika… to a light dinner. Ni vizuri dinner ikiwa light sababu ni usiku haipendezi kula vitu vizito hivyo lunch ni vizuri kikapikwa kizito na cha kueleweka.
 
Matahaba kijana....... Bibi hajambo. Ukweli ni kuwa bibi akiingia huku, mimi ntalazimika kutoka. Naipenda ndoa yangu..... LOLEST

Haha..jana nimepokea PM from anajiita bibi yangu...! ndo maana nimeuliza.
Haiwezekani yupo na wewe hujui?
 
Thanks Love for this useful thread,

Kina Asprin, MTM et al walikuwa wanashangaa mbona afya yangu iko mswano hivi, wasijue kuwa nina mke aliye pia mwanamke in every aspect

Thanks darling

Home ile rule yetu ina apply hapa? Au ndo Ubwanyenye na ukabaila?
 
Aaahh shemeji...gud to know!
Nangojea uthibitisho wa babu.

ahha Mkuu Mentor, Needless to say, nimesoma Asprin anajaribu kuuliza eti who is the luckiest guy wakati hii marathon ilishafungwa siku nyingi LOL

here I am, the one and only....you need my darling AshaDii to tell you this? noo...hahaha
 
Inauma sana aisee!
 
Babu, nashawishika kukuamini ujue..ila huyu shemeji amejiamini sana!
 
Thanks Love for this useful thread,

Kina Asprin, MTM et al walikuwa wanashangaa mbona afya yangu iko mswano hivi, wasijue kuwa nina mke aliye pia mwanamke in every aspect

Thanks darling

It is you darlng who keeps me goin on and on and on and loving it - that as a result of showing your appreciation/care/acknowlegment and assistance...of/in my efforts.... it makes me want to do more... BTW You look kind of tired... achana na hio wine kwa leo, bcoz ulikua too busy kazini ukakosa nafasi ya lunch kunywa hii juice made from banana, embe, papai, plus fresh milk and vanilla huku nikiandaa chakula.... And dont worry about MTM... anapata the exact copy of me from FF...
 
Home ile rule yetu ina apply hapa? Au ndo Ubwanyenye na ukabaila?

Ukabaila.......ubwanyenye.......... kaizer usije kucheza na mimi una mikono michafu

Not Authorised...Not Approved!

Inauma sana aisee!

aisee babu genuinely nashindwa kukuelewa kabisa! siku ile mpaka ukaniita
kwako kukufanyia usafi wa chumba kizima hadi deki ya kuinama tena... Dah!
baada ya hapo ukamwaga sifa na kuni tambikia na kunikaribisha kkua kijana
wako kweli kapata mke... what went wrong??? lol
 
Aaahh shemeji...gud to know!
Nangojea uthibitisho wa babu.

Mjukuu mwenza... i see you see you shem...lol... And don't listen to babu
right now about uthibitisho eeeh?? i feel like he is losing his mind au
mtu kaiba PW yake... sad... lol
 
Back
Top Bottom