shilla de sam
Member
- Jan 7, 2013
- 8
- 3
Sidhani kama gharama ni kubwa kiasi cha kuogopa, changamoto ni kwamba kulipia ushauri siyo utamaduni wetu watanzania!Wengi tunaogopa gharama lakini nakubaliana na wewe kabisa, ukitaka ufanikiwe tafuta consultant .....
Kitaalam kuna hatua za kufuata katika utoaji wa huduma ya ushauri wa Kitaalam kwa wateja, kama mtu anajiita consultant na hafuati hatua hizo basi huyo hafai kuwa Mtoa Huduma. Lakini ni muhimu kujua kuwa Consultant ili atoe ushauri stahiki ni lazima ajue tatizo/changamoto inayomkumba client wake!Hii ndo haswaa, na pia consultants wengi, ukiwasikiliza, they don't know deeply the consultancy they are offering, huwa hainiingii akillini unakutana na consultant badala ya yeye kukushauri, anaishia kuuliza uliza maswali tuu na kushangaa kila unchokisema
Ni muhi mu kuwepo kwa mkataba kati ya mtoa huduma na mteja kabla ya kutoa huduma hiyo, ili ikitokea wazo lako limeuzwa uweze kumshitaki mhusika
Huu ulioongea mkuu ndio ukweli halisi wabongo ni wajuaji to infinite and beyondChangamoto ni Mtanzania unaye mpa ushauri anajua kukuzidi wewe mtaalamu. Mtanzania anaheshimu ushauri wa daktari tu pale anapoona anakaribia kukata rohoo🤣