I think tunatofautiana katika usawa wa maelezo lakini tofauti ni nyakati.
Ukizungumzia kuja kwa waajemi kukaa Kilwa, Kilwa haikuwa state ya Watu wa Nje. Kilwa ilikuwa state ya Indigenous Africans waliokuwa na trades kukua kutoka Zimbabwe na Mapungubwe. Waarabu na warumi ni wageni Kilwa lakini hapo baadae Arabs kuwepo katika ushirikiano na Rulers wa Africans na mpaka wanakuja kuhamia moja kwa moja tayari wapo ambao walikwepo kutokana na Intermarriage na rullers. Hivyo tambua Kilwa ilijengwa na kuwa na power before external influence kuja hapo baadae.
Pia waajemi wamechelewa kufika. Warumi, Egyptians na Greeks walishaitambua East Africa na kulikwepo na Miji kama Raphta.
Egyptians wanaujua mlima Kilimanjaro, Herotus alishadocument Lake Victoria na Kagera kama chanzo cha Mto Nile na kuandika kuhusu Mlima Kilimanjaro. At that time before Arabs at the Coast. Pia Somalia ndio ilianza kuwa settled na wahajemi ndipo wakaja to the southern East Africa.
Kuhusu Arabs na conflicts na Portuguese ilikuwa ni kutokana na kwanza kila mmoja alikuwa anataka kutawala East African routines ambazo zina faida kubwa na pia kuhusu kueneza udini. Haikuwa kwa faida ya Indigenous bali interests zao kutokana na potentiality iliyokwepo na ilikwepo hata kabla ya kuja na ndichi kiini kuwafanya wapende East Africa.
Kuhusu states kuharibiwa, zipo. Na sio naelezea kwa nadharia ya kukupinga bali zipo research paper mbalimbali zimeelezea. Zipo mpaka takwimu za idadi East Africans waliouzwa na adhari ya Caravan Slavery katika areas ambazo ilitawala.
Sorry nilipochora sio its part of this talk, nilikwepo ninasoma na kuweka notes.