Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania


What's the point?

Kila mtu anafahamu hivyo.

Tatizo ni wanaosema Kiswahili ni kiarabu kwa asilimia kubwa which is a lie. Asilimia kubwa ya kiswahili kuanzia maneno, mizizi ya vitenzi, utamkaji, mfumo wa sentesi ni Kibantu. Bantu inaplay zaidi ya 60% ya structure ya Kiswahili.

Pia kutohoa maneno ni kawaida. Hata kingereza kina maneno kutoka lugha nyingine ikiwemo hata kiswahili.
 

Asante sana kwa darasa zuri.
 
Yeah of course according to bibble na imani ya kikristo itakua ngumu sana kupractise maana wengi watauliwa kwa imani yao na huo ndo utakua mwisho wa dunia umekaribia....mark my words islam dominance in world will complete the bibble prophecy

Neno swahili pia ni Kiarabu, usisahau hilo.
 
Kama mlikua mmemezeshwa history chafu ya mtu mweusi inabidi mrejee ukweli wenyewe na mjue mtu mweusi alishawahi kuitawala dunia yote the first civilizers

Unazidi kudhihirisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga. Nani alikudanganya kuwa Uarabu ni rangi?
 
 
Hata kichina nacho kimeshika hatam yaani bidhaa zao nyingi lazima waweke japo kaneno kamoja ka kichina

lugha nayo inaishi na chochote kumalizia kinachoishi hukua, na kufa hivyo kiswahili lugha yangu adhwiimu ni kiswahili na siyo kiarabu bali kwani kimekopa maneno ya kiarabu kama kingereza kilivyokopq maneno ya kigiriki.
 
Kwahiyo kiswahili siyo lugha ni mavi tu sindio? Badala ya kushawishi mataifa mengi yajifunze ksw we unaongelea kiarabu! Nan akaombe kaz kwa hao wabaguz wa rangi hivi hamjui kinachowakuta Dada zetu wanaopelekwa huko uarabun kufny kaz? MNA boa xn post zenu
 
Usijali, ndio maana nchi imepata ufadhili wa ujenzi wa misikiti ili kukiandaa kiarabu kuwa rasmi !!
 
Naona kuna mods wamefuta comments zangu sasa rejesheni mala moja kabla sijawekA virus huko kwenye server zenu.
 
Kwa hakika hapa hatubishani wala kupingana bali kuelimishana na ndio maana nashangaa inakuwa vipi jazba imetawala toka kwa wachangiaji!

Nikirudi kwenye mada, nimeechukua nyakati kuanzia karne ya 10 kwa makusudi kwa sababu ni katika kipindi hiki ndicho ushahidi wa kihistoria unaonesha ujaji wa watu kutoka Arabian Peninsula, huku watu wa mwanzoni kabisa wakiwa ndio hao Waajemi.

Mtu wa mwanzo kuingia Kilwa katika muktadha huu wa Kilwa Sultanate ni Ali ibn al-Hassan Shirazi. Huyu alikuwa ni mtoto wa Mtawala wa Shiraz kutoka kwa mama mtumwa mwenye asili ya Uhabeshi. Baada ya kufariki kwa Baba wa Ali, ndugu zake wakamtoa kutoka kwenye kundi la warithi; jambo ambalo bila shaka ndilo lilichangia kwa Ali ibn al-Hassan Shirazi kuondoka pamoja na wafuasi wake na wanafamilia wake na kuja kutua Mogadishu kabla ya kuanza safari nyingine iliyomfikisha Kilwa na ku-settle. Na kama nilivyosema hapo awali, alipoingia Kilwa alikuta jamii za Kiafrika zipo well established na maandiko mengi yanaonesha Mfalme wa Kiafrika ambae alikutana na Ali ibn al-Hassan Shirazi ni Mfalme Almuli. Huyu hakugombana nae na wala hapakuwa na mgogoro miongoni mwao kwavile alichokuwa amefanya Ali ibn al-Hassan Shirazi ni kununua eneo la Kilwa Kisiwani huku Waafrika wengi wakiwa concentrated kwenye mwambao wa Kilwa na sio Kilwa Kisiwani. Na ndio maana, hata leo mabaki mengi ya kihistoria ya Kilwa yapo Kilwa Kisiwani.

Hivyo basi, hata leo tunapozungumzia Kilwa Sultanate ambayo ilishamiri kuanzia karne ya 10 hadi ya 15 ni hii iliyokuwa imeasisiwa na Ali ibn al-Hassan Shirazi. Na ndio hii Sultanate ndiyo hatimae ilikuwa kubwa kuliko zote kwenye Pwani ya Mashariki ya Afrika kuanzia Somalia ya leo (Mogadishu being former giant) to Sofala.

Walipokuja Wareno sasa, hawa ndio walibomoa hii Sultanate na hawa ndio walikuwa wanatumia mabavu zaidi kuliko kutafuta namna ya kuwa-win wenyeji. Ingawaje ni kweli Wareno walipoingia kwa mara ya kwanza walijaribu kuwashawishi some subjects to Kilwa Sultanate wawe upande wao ili hatimae (Wareno) waweze kuhodhi ukanda wa biashara kutoka Sofala hadi Bara Hindi, walipoona hawaelewi Wareno wakaamua kutumia nguvu.
 
Hapa mada ni Kiarabu, English kajifundishe kwanza.

Good morning Faiza

Nilipendelea nikupatie ushahidi kuwa huwezi kusema lugha fulani ni lugha fulani kwa sababu tu ya kuwepo kwa maneno. Lugha kuchukua maneno ya lugha nyingine ni sawa na kila lugha duniani inatohoa maneno. Hata kingereza neno "English" asili yake sio kingereza ni kijerumani.

Ila kutazama idadi ya maneno ni udhaifu wa kutofahamu linguistics. Huwezi kulinganisha lugha kwa idadi ya usawa wa maneno tu. Kuna sarufi. Sarufi ni study kuu katika kuangalia mzizi wa lugha. Kiswahili hakina sarufi na structure ya kiarabu, ipo kibantu zaidi. Maandishi pia sio sawa, hata kwa asilimia 0.1%. Structure ya vitenzi, roots za vitenzi, mfumo wa sentensi n.k

Kiswahili kitabaki kuwa ni kibantu kwa kiasi kikubwa. Hata kulipotohoa maneno bado hakijabadili muundo wake wa kisarufi.



Language family ya Kiswahili ni Niger-Congo (including Bantu ethnics). Kama hutaki utafiti uliopo andika facts zako kutetea.

I am done.
 

Asante sana kwa kushare ndugu. Ninafahamu vyema. Kuna interesting story na masimulizi ya Kilwa lakini naona ile site imesahaulika kabisa ukiitembelea.
 

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa...

Hayo yote tuliyajadili sana humu humu JF, wala mada ya hapa haihusiani na hayo, pitia uzi huu: Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…