Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Pia kuhusu mji Wa Raphta anaouongelea mchangiaji mmoja humu. Huo mji umegunduliwa mwaka huu na senior mmoja hapo UDSM na mtaalam mwingine kutoka nje. However huo mji uko pwani ya Tanzania sio mbali sana na pwani documentary ipo ktk archive za BBC ukiisarch YouTube utaipata na huu mji umezungumziwa sana na huyo Archaeologist Wa hapo Udsm ameutafuta kwa muda sana kulingana na documents nilizosoma. Nakumbuka school tour tulienda bagamoyo back in secondary tulikuta kuna sehemu zimechimbwa mashimo tulivyouliza tuliambiwa kuna utafiti Wa kuutafuta huo mji.
 

Ni Professor Felix Chami. Ni mwalimu na mchunguzi wa Swahili Coast. Ni guru mzuri katika kufundisha. Nitampa salama zako. Ni mwalimu wangu.
 
Ni Professor Felix Chami. Ni mwalimu na mchunguzi wa Swahili Coast. Ni guru mzuri katika kufundisha. Nitampa salama zako. Ni mwalimu wangu.
Aisee msalimie sana hivi bado yupo udsm na je anaendelea kufundisha level gani ?

Pia muulize ilikuwaje yy yupo hapa tz kila siku mpaka mzungu amsaidie while ule huo mji ulikuwa unaoneka ukiwa kwa juu kulingana na maelezo yao ktk hiyo documentary. Pia kwanini dept yao ya archaeology bado iko chini sana ktk kudahili na ktk ukufunzi wakati wao ma seniors wapo wengi tuu hapo eg Mbilinyi etc .
Hii inapelekea mpaka tunakuwa na mikingano kama hii koz elimu hii wengi hatuna.
 
Vipi, inauma?
Ukweli ndio huuma......ila kubezwa na taarifa za uvumi au kupakaziwa katika imani hiyo hukera kabisa......

Kama hapa umenikera na leo usije maana hata ukija nina hasira sitakugegeda vizuri......
 
Hao ni Waafrika kama wewe na mimi au nalo unabisha? Nikupe ushahidi?
Hauna ushahidi wowote hebu tupishe hapa..........waafrika tangu lini wakawa weupe.......hao ni Arabs .....na mataifa yao huitwa ya kiarabu......ndio maana ukichukua kenya ...tanzania .....uganda.... kongo.....rwanda hizi hitwa ni nchi za kiafrika....ila nchi walizolowea waarabu huitwa nchi za kiarabu
 

Yupo UDSM Department ya Archaeology and Heritage. Anafundisha postgraduates wa Masters na phD.

Mkuu, wapo wakali wengi wa Archaeology. Nadhani UDSM wanashika nafasi tano bora za Institution kubwa ya Archaeology Africa.

Pia Felix ni mwanzilishi wa idea ya Raphta. Hata waliokuja kuitafuta walikuja kutokana na kusoma kazi zake.

Tatizo hii course haipo level za primary na sekondary. History inapewa kipaumbele kuliko archaeology.
 
Hili andiko linaonekana kabisa ni wewe ndio ulikaa chini ukaliandika ili uje litumia kuleta utetezi wako usio na mbele wala nyuma........bure kabisa na maandiko yako halafu ukitaka kujua haya maandiko yako ni ya kinafiki huwa unatumia maandiko yenye kulenga kuchafua kanisa as if kanisa lilikuwa responsible na utumwa........

Ila kwa kutetea mahawara wako wa kiarabu utadhani unalipwa...........nenda sasa uarabuni uone uchafu watakaokufanyia ndipo utajua ulivamia kambi......
 
Ushafeli so habari yako na hoja zako hazina Mashiko kiswahili sio 50% ya kiarabu sababu Mwarabu akiongea mswahili hawezi kumuelewa na vile vile Mswahili akiongea Mwarabu hawezi kumuelewa Mswahili... ni same na lugha zingine tu.. cha zaidi unatafuta sifa tu... na ukiendeleza uzush wako nitaweka video clip ya mwarabu akiongea kama utaambulia kitu hiyo 50% yako ya kubuni kama faiza foxy
 
TV
Hao watoto sio wahindi hao ni waafrika wambulu wahabesh wasudan wasomali wanyarwanda wapo hivyo.
Alaa kumbe Uafrika siyo rangi.

Uelewe kuwa Uarabu si rangi pia. Uarabu ni lugha na Kiswahili kimesheheni Uarabu, kina ustaarabu mkubwa sana.

Au wewe hujastaarabika?
 

Mkuu nikusahihishe kidogo Kiarabu ni lugha ya tano na sio ya pili .
1. Chinese
2. Spanish
3. English
4. Hindi
5. Arabic


The 10 Most Spoken Languages in the World
 
Kwa sasa tujikite kwenye kuboresha UFUNDISHAJI wa lugha ya kiingereza maana tuliopita kwenye mfumo wa shule/vyuo vya umma humu nchini tunaaibika kwenye interview/makazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…