KIKOTI12
New Member
- Jul 14, 2021
- 3
- 0
Kilimo kina umuhimu mkubwa sana kwa nchi yetu kwani kinatupatia
Moja Kati ya Sera za kilimo ambazo zilishawekwa na serikali hapo nyuma ni Kama vile
1. Chakula ni uhai
2. Kilimo kwanza
Kilimo bado tunatumia kwa kujikimu na siyo vinginevyo kwasababu Tanzania tunatumia dhana duni za kilimo tofauti na nchi zingine.
Enzi za MWALIMU
Changamoto za kilimo.
1. Ushindani
Kutokea kwa bidhaa mbadala mfano katani na kamba za plastiki.
2. Kuvunjika kwa ushirika mfano mbadiliko wa mfumo.
3. Wakulima kuwategemea wafanyabiashara.
4. Changamoto za uhifadhi (nishati).
Hakuna nishati ya kutosha kuhifadhi mazao mfano (perishable crops).
5. Asilimia kubwa ya chakula kinapotea mfano katika kipindi Cha uvunaji, kusafirisha na kuhifadhi.
Kitu Cha kufanya ili kuinua kilimo
1 - Kuondoa ruzuku kwenye kilimo
2 - Kuangalia upya jinsi ya kusaidia wakulima wetu.
3 - Kuwa na taaluma ya kuchunguza Afya ya udongo.
4 - Kuwa na nishati ya kutosha kuhifadhia mazao.
5 - Kuwa na kilimo chenye tija.
6. Kuboresha miundombinu
7. Kuwa na vyama vya ushirika
Upotevu mwingi wa chakula .
1. Wadudu
2. Teknolojia hafifu
3. Miundombinu mibovu
Kwanini kilimo kinadharaulika.
1. Sababu za kihistoria toka enzi za ukoloni kudhalau kilimo.
2. Kupungua kwa tija kilimo.
Watu wengi wanategemea kilimo Cha mvua hakuna umwagiliaji.
Kilimo ni Nini?
1.Uwekezaji, vitendea kazi
2. Nishati
3. Miundombinu.
4. Kilimo ni Imani
Kuboresha kilimo tunatakiwa kufanya
1. Kuongeza tija
2. Kodi za mazao kuondolewa
3. Miundombinu wezeshi
4. Ujenzi wa masoko.
5. Kuongeza ufanisi
6. Kuwepo kwa vyama vya ushirika kutetea wakulima.
Tulikosea wapi??
1. Utafiti na sayansi
Utafiti hautumiki sahihi kusaidia wakulima, wapi alime, atalima Nini na kwa wakati gani.
2. Afya ya udongo (kuzingatia)
Nini vyuo vya kilimo na serikali inatakiwa kufanya.
1. Kutoa Elimu ya uvunaji na uhifadhi (post harvest)
2. Kuandaa wanafunzi kwenda kwenye masomo ya vitendo mashambani.
3. Wasomi kutumika kukuza kilimo
4. Kutengeneza wanafunzi ambao watawaza kijiajiri kwenye kilimo na siyo kuwaza kuajiliwa.
5. Kuongezeka kwa uzalishaji wa mabwana shamba na Bibi shamba na kuwajengea uwezo
Hitimisho
- Chakula
- Afya
- Ubora wa familia hupimwa kwa kujitosheleza kwa chakula.
- Asilimia 65% - 70% ya watu wanategemea kilimo.
Moja Kati ya Sera za kilimo ambazo zilishawekwa na serikali hapo nyuma ni Kama vile
1. Chakula ni uhai
2. Kilimo kwanza
Kilimo bado tunatumia kwa kujikimu na siyo vinginevyo kwasababu Tanzania tunatumia dhana duni za kilimo tofauti na nchi zingine.
Enzi za MWALIMU
- MWALIMU alikuwa na kauli inayosema kuwa tumbo lenye njaa haliwezi waza kingine zaidi ya chakula.
- Japo ya miundombinu mibovu lakini bado watu waliweza kupata chakula na Elimu.
- Taasisi za kilimo Kama buyole(mpunga) zilianzishwa
- Mbegu nyingi zilipandwa wakati huu na nyingi zimezalishwa na wataalamu wetu.
Changamoto za kilimo.
1. Ushindani
Kutokea kwa bidhaa mbadala mfano katani na kamba za plastiki.
2. Kuvunjika kwa ushirika mfano mbadiliko wa mfumo.
3. Wakulima kuwategemea wafanyabiashara.
4. Changamoto za uhifadhi (nishati).
Hakuna nishati ya kutosha kuhifadhi mazao mfano (perishable crops).
5. Asilimia kubwa ya chakula kinapotea mfano katika kipindi Cha uvunaji, kusafirisha na kuhifadhi.
Kitu Cha kufanya ili kuinua kilimo
1 - Kuondoa ruzuku kwenye kilimo
2 - Kuangalia upya jinsi ya kusaidia wakulima wetu.
3 - Kuwa na taaluma ya kuchunguza Afya ya udongo.
4 - Kuwa na nishati ya kutosha kuhifadhia mazao.
5 - Kuwa na kilimo chenye tija.
6. Kuboresha miundombinu
7. Kuwa na vyama vya ushirika
Upotevu mwingi wa chakula .
1. Wadudu
2. Teknolojia hafifu
3. Miundombinu mibovu
Kwanini kilimo kinadharaulika.
1. Sababu za kihistoria toka enzi za ukoloni kudhalau kilimo.
2. Kupungua kwa tija kilimo.
Watu wengi wanategemea kilimo Cha mvua hakuna umwagiliaji.
Kilimo ni Nini?
1.Uwekezaji, vitendea kazi
2. Nishati
3. Miundombinu.
4. Kilimo ni Imani
Kuboresha kilimo tunatakiwa kufanya
1. Kuongeza tija
2. Kodi za mazao kuondolewa
3. Miundombinu wezeshi
4. Ujenzi wa masoko.
5. Kuongeza ufanisi
6. Kuwepo kwa vyama vya ushirika kutetea wakulima.
Tulikosea wapi??
1. Utafiti na sayansi
Utafiti hautumiki sahihi kusaidia wakulima, wapi alime, atalima Nini na kwa wakati gani.
2. Afya ya udongo (kuzingatia)
- kupata Elimu
- tusiokoe tu nguvu tuokoe na matumizi mazuri ya udongo.
Nini vyuo vya kilimo na serikali inatakiwa kufanya.
1. Kutoa Elimu ya uvunaji na uhifadhi (post harvest)
2. Kuandaa wanafunzi kwenda kwenye masomo ya vitendo mashambani.
3. Wasomi kutumika kukuza kilimo
4. Kutengeneza wanafunzi ambao watawaza kijiajiri kwenye kilimo na siyo kuwaza kuajiliwa.
5. Kuongezeka kwa uzalishaji wa mabwana shamba na Bibi shamba na kuwajengea uwezo
Hitimisho
- Wakulima wanatakiwa kuwa na taarifa kuhusu soko la kimataifa, mkulima anatakiwa afahamu kuhusu soko la kimataifa linahitaji kitu gani kabla hajafikilia kulima
- kuongeza thamani ya mazao, hapa hata serikali inatakiwa isaidie wakulima katika kukuza thamani ya mazao.
- kuwepo kwa vyama vya ushirika kutetea wakulima wasionewe katika haki zao.
Upvote
3