Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
good analysis. pia kuna vitabu vingi tu vimeandikwa kwa kiswahili, vinaongelea masuala yote ya wosia, mirathi,ndoa na matunzo ya watoto. bofya Sheria TanzaniaWosia kwa tafsiri ni maelezo ya muandika wosia yanayoeleza nini anataka kiwe juu ya mali yake baada ya yeye kufa. Kwa lugha nyingine ni mgawanyo wa mali anaouandika mtu wakati wa uhai wake ambao unatumiwa kugawanya mali zake pindi anapoaga dunia.
Umuhimu wa kuandika wosia ni kama ifuatavyo!
1. Inasaidia mali za marehemu kuwafikia au kugawiwa kwa watu aliowalenga hasa
2. Inaepusha migogoro dhidi ya mali yake pindi anapofariki
3. Inaainisha mali zote za Marehemu ambazo vingenevyo zingepotea
4. Inabainisha tegemezi wote wa Marehemu ambao hawafahamiki
5. Inaondoa uwezekano wa familia ya karibu na marehemu kudhulumiwa mali
Andika wosia sasa, okoa familia yako!
Makala hii imeandaliwa na:
Aloys Rugazia
Afisa Sheria
MARS Legal Consultants
P.O Box 6445, Dar es Salaam
Kinondoni, Email: marslegalconsultants@outlook.com
Ujumbe Mfupi: +255 654323268
Wosia kwa tafsiri ni maelezo ya muandika wosia yanayoeleza nini anataka kiwe juu ya mali yake baada ya yeye kufa. Kwa lugha nyingine ni mgawanyo wa mali anaouandika mtu wakati wa uhai wake ambao unatumiwa kugawanya mali zake pindi anapoaga dunia.