Umuhimu wa kufanya mazoezi

Umuhimu wa kufanya mazoezi

Nashukuru kwa kuwaelimisha kwa hlo. Mimi angalau huwa najitahdi kwa hlo. Angalau jmos,jpili,jnne na alhamisi huwa nacheza mpira.Magonjwa yenyewe yananikimbia.

Ni kweli mkuu. Huwezi kuugua ugua hovyo ukifanya mazoezi.
 
Hivi kumbe kunawatu hawafanyi zoezi ??

Duu kwa kweli wanakosa utamu sana jaribuni hata kukimbia tuu basi.

Mi ninachosikitika ni kwamba nishakuwa teja wa zoezi nikiacha wiki tu hata mwendo nauona unachange??

Sinywi pombe zoezi ndiyo ulevi wangu

mwanamke NO zoezi ndiyo mpenzi wangu

mkishindwa kabisa jitahidin hata kutembea umbali mdogo mwendapo makazini au kupanda ngazi toka floo 1 mpaka ya 2
 
Sasa hapo umeongeza chumvi mkuu. Zoezi ndio mpenzi wako?
 
Back
Top Bottom