Hivi kumbe kunawatu hawafanyi zoezi ??
Duu kwa kweli wanakosa utamu sana jaribuni hata kukimbia tuu basi.
Mi ninachosikitika ni kwamba nishakuwa teja wa zoezi nikiacha wiki tu hata mwendo nauona unachange??
Sinywi pombe zoezi ndiyo ulevi wangu
mwanamke NO zoezi ndiyo mpenzi wangu
mkishindwa kabisa jitahidin hata kutembea umbali mdogo mwendapo makazini au kupanda ngazi toka floo 1 mpaka ya 2