Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Hii kitu ina umhimu wake aisee, natamani siku moja nipange room, nianze kujitegemea, kikubwa room yangu sitaki ikose Pad na Tv kwa ajili ya game, yaani game kwa kwenda mbele.
Mbali na uchumi kwangu kua mgumu, kitu inayonikimbiza kupanga, ni kupika kupika so kazi ya kitoto aisee, halafu kuna na kudeki unaweza ukavunjika hata uti wa mgongo kisa kuinama inama asubuhi.
mambo ya kufagia, sasa hapo ndio tutamalizana na majirani.
Halafu uzuri wa ghetto nasikia ua kuna watu wanatafunwa kama mihogo, wakuu wekeni wazi usumbufu ulioko ghetto, raha za ghetto, pamoja na mihangaiko,