Umuhimu wa kukaa ghetto

Kimbembe cha getto huwa ni kuanza tu, mengine sijui ya kuishiwa kodi, kudaiwa umeme na maji au kuishiwa msosi ni kawaida na huwa solution zinakujaga tu mpka unashanga unelipitaje hilo suala
 
Hahahaaaa nilivyokuwa chuo baada ya wazamiaji kuwa wengi nilichukua room nikaweka sheria akitaka kunitembelea mtu aje na mboga yake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na chakula je
 
Kimbembe cha getto huwa ni kuanza tu, mengine sijui ya kuishiwa kodi, kudaiwa umeme na maji au kuishiwa msosi ni kawaida na huwa solution zinakujaga tu mpka unashanga unelipitaje hilo suala
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kabisa mkuu
 
Jamani hii ni terminology mpya nini? Kumbe papuchi zinachakatwa. Kweli Tanzania ya viwanda ipo juu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dah aisee bado nachungulia hot pot ila karibia nafukuzwa
Vp bado unachungulia hotpot mkuu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…