Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwa watu.wewe upo kwenu sio
Ghetto bila suubwoofer ni sawa na choo tu.kama huna sabufa basi hapo sio ghetto..
Tafuta demu uishi nae tu akupikie akufulie mwisjo wa siku unaoa penginedah mzee unaniombea mazuri kinyama, ntatulia usiwaze ila tatizo ni kudeki, na kupika na kuoa sitaki kabisa ata kusikia
Nguo unaweka wapi ukiweka kwenye mabegi mbu hawakosekaniGheto kuna kitanda, feni ya kishkaji , sabufa, desktop jiko la gas na vyombo tu vichache sina makoro koro mengi mkuu
Huenda hana huyukwaio zero IQ hana kabati
Kigheto gheto kabati sio Option ni Extra tuNguo unaweka wapi ukiweka kwenye mabegi mbu hawakosekani