Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 165
- 450
- Thread starter
- #21
Kila sehemu niko na kamba, huku kwenyewe nimebeba manguo ya kuonesha natokea wapi. Yaani naonesha tu natokea wapi.Kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila sehemu niko na kamba, huku kwenyewe nimebeba manguo ya kuonesha natokea wapi. Yaani naonesha tu natokea wapi.Kuku mgeni hakosi kamba mguuni.
Naam,Sina muda mrefu, Mkuu.
Ila naamini nawewe uko huku, hasa baada ya kuonesha unajua address ya brother aliyefariki kwa ajali juzi kati
Najua hii ni alama ya umasikini kwa huku, ila kwangu wala sijali. Hapa naona watu wanakuja na magari kufua, sasa mimi naogopa nini! Japo nakuelewa sana.Naam,
Ukiwa unatumia laundry mats kama hizo ulizoziweka pichani, watu wenye hygiene watakutaka ujiongeze kuweka zako nyumbani.
Kwa sababu hizo zinachukua mikojo ya kila mtu.
Kuna binti wa matawi ya juu familia za Ki Seneta alinipeleka kwa mama yake kunitambulisha, mama akaniuliza mambo kibao, swali moja lilikuwa hili.
Yule mama alikuwa hataki binti yake atoke na mtu anayefua nguo kwenye public laundry mats.
Kwahiyo unatawadhwa rinda?Mimi hapa nilipo kuna mashine hadi ya kutawadha rinda. Mzungu maamaee
NARUDIA; ...hizo zenu sizo tunazo zungumzia hapa, next time tafuna mihogo kisha usome kwa kutulia.Sasa hapo ueleweki kazi ni ile ile si ukubwa wa mtambo, unaonekana we ni limbukeni wa US, hujawahi kusafiri nje ya nchi, au unetokea mkoani kusafiri sehemu mpya kila unacho ona unashangaa.