Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ni jamboo moja unaweza hisi la kawaida lakini limetesa ndoa nyingi sana sana mno bila wao kuzijua. Wapo walioshtukia lakini walishapigwa sana hata amani hakuna tena ndoa src yale mabox mliokimbilia kufungua
Zawadi za harusi n jambo jema lakini kuziombea kabla ya kufungua ni bora zaidi. Watu wengi wanapigwa ni this. Mfano tu kwenye ndoa yangu nilijichanganya tuko hotelini tukafungua box zina khanga mbichi katikati kuna jiwe limezungushwa. Haikutosha tuko njwi na dompo tukafungua moja lina nazi zimepasuliwa zimeoza acha kabisa
Kikawaida tukazitupa kwenye dustbin asikwambie mtu, moto wake ukaanzia kesho yake ni shida hao malaya wako na wale wanasema mabwana zako. Mwisho wake naujua mimi
Wale mnaoenda kuoa na kuolewa mjitahidi sana kusali kumwomba Mungu ssana hizo zawadi ndipo mfungue. Ukiona huna imani ita hatawatumishi wa Mungu wakusaidie kuomba, usiogope ndoa zipo changamoto zipo lakini uimara wako ndio utakufanya
Ubaki
Ama uendelee kwenye ndoa
Ama uitwe mjane kabla ya mdawako
Be strong
Never give up