Umuhimu wa kusoma shule za Seminari

Umuhimu wa kusoma shule za Seminari

thanks again and have you

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2023
Posts
230
Reaction score
426
Habari ya asubuhi!

Ndugu zangu Mimi ni mmoja wa Kijana niliyepitia shule za seminary. Hizi shule japo zina weaknesses zake lakini ni nzuri kumuandaa mtoto hasa katika Makuzi ya kiroho !

Kuna Mambo mengi ambayo Mimi siwezi kuyafanya kutokana na "hofu ya Mungu" niliyojengeweza kipindi Cha Makuzi yangu ya shule.

Faida nilizozipata kule japo badae nilikuja kutoka;

1. Uvumilivu
2. Hofu ya Mungu
3. Msimamo
4. Upendo
5. Utii

Kama Mjuavyo "Mavuno ni mengi ila watenda kazi ni wachache" Upadre haukua wito wangu ,ila nilipata kujifunza Mengi Sana

Nawashauri wazazi hasa wakrsto wenye watoto wa kiume kuwapeleka shule hizi ili kupunguza matukio ya kikatili yanayochagizwa na ukosefu wa hofu ya Mungu.
 
Binafsi siko ktk mlengo wa kupenda single sex schools, kwa kuwa huko ndiko wanajifunza ushoga, usagaji, ulevi, mabangi, mapunyeto

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Waseminari wengi wanaongozwa na kufanya maamuzi kwa kutumia huruma pasipo akili...🤨
 
Back
Top Bottom