farajagastomlamba
Member
- Jul 26, 2022
- 6
- 4
Historia ni kumbukumbu ya mambo au matukio yaliyopita haijalishi ni mema au mabaya.
Mtu binafsi, familia, ukoo, kabila, kampuni, taasisi, dhehebu, shule, chuo, wilaya, mkoa, kijiji n.k ina/ana/una/kina/linatakiwa kuwa na kumbukumbu au historia ya maandishi, picha na vitu mbalimbali.
Historia zina faida nyingi kama vile:
1. Kuelimisha.
2. Zinasaidia katika upangaji wa mipango, uandaaji wa sera na utungaji wa sheria.
3. Zinasaidia kutuonyesha makosa yaliyofanywa na wengine na madhara yaliyowapata ili sisi tuyaepuke makosa hayo.
4. Zinatia hamasa mbalimbali.
5. Zinasaidia wakati wa kufanya tathmini kuhusu mambo mbalimbali.
6. Zinasaidia katika upelelezi na uendeshaji wa kesi.
7. zinatufahamisha mambo mema yaliyofanywa na watu au mtu fulani.
8. Zinatuonyesha wapi tulipotoka.
9. Zinaonyesha chanzo au vyanzo vya tatizo.
10. Zinatupa kufahamu chimbuko au asili ya mambo au vitu mbalimbali.
NB: Historia ni za muhimu sana.