Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wa chini kulia nina mashaka nae asee kwa nini mgongo ni flati hivyo!!kuna kitu hapo sii bure huyu mwenzetu!!Habari wakuu....
Naomba kujuzwa kwanini vijana wengi huvaa mlegezo?..tatizo ni kuwa suruali inakuwa fupi au ni chupi mpya anataka tuione?View attachment 403413 View attachment 403414
Mkanda Wa Suruali???hatupendi kuvaa mlegezo..shida ni kuwa tunabeba simu kubwa na wallet zenye pesa mingimingi so uzito unazidi