Umuhimu wa kuvaa mlegezo

Umuhimu wa kuvaa mlegezo

e7c781b7845e4575d106e4ef8892ff5b.jpg
 
wanaume wa dar ndo wanaongoza wakifuatiwa na machalii wa chuga.hili swala linaenda sambamba na wanawake watu wazima kuvaa vimini kuonesha mamichilizi kwenye mapaja yao yalioanza kufubaa hii ni tatizo tujitahid kujieshim kadil ya umri unavyoenda

watu wata kujaji kutokana na muonekano wako wa nje tuu wanajua hili bure tuu shake well before use
 
Back
Top Bottom