Umuhimu wa kuvaa mlegezo

Ni fasheni mkuu, kuna utofauti kati ya baba na kijana. Kma kijana atafunga yenu na baba yake atafungia wapi sasa?
We vipi ndugu....hujaona watu wazima na hata wazee wamevaa mlegezo.
 
Halafu unakuta kavaa mlegezo sasa na hiyo boxer huko ndani ilishabadilika rangi imekuwa kama rainbow haieleweki kama ni nyeupe,nyeusi yani shida tupu
Mlegezo siachi ata nikiwa mzee, ingawa boxer yangu huwezi kuiona ata siku moja, huwa nikuvaa mlege.. Natembea comfortably compared na kujikaza tumbo kwani nimezaa[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Mlegezo siachi ata nikiwa mzee, ingawa boxer yangu huwezi kuiona ata siku moja, huwa nikuvaa mlege.. Natembea comfortably compared na kujikaza tumbo kwani nimezaa[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Wewe ni mwanaume au mwanamke?
Kuzaa na mlegezo wapi na wapi?au sijakuelewa?
 
hatupendi kuvaa mlegezo..shida ni kuwa tunabeba simu kubwa na wallet zenye pesa mingimingi so uzito unazidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…